Nataka 110/=, Chukua 70/=, nipeni 100/= basi, Chukua 70/= bhana. Sisaini.

Sasa OKWI akitaka dau hilo then watu kama akina Niyonzima, KAMUSOKO, Msuva itakuwaje...?

Huyo jamaa kacheza VPL 4 season kabeba Ndoo 1 tu.

Hakuwahi kuwa hata top scorer!
Usikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote ulizotaja okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni
 
Mmhh
 
Usikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote

Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?

Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
 
Mashabiki wa soka mnakuwa kama mashabiki wa muziki wa taarab!! Mafumbo ya nini sasa.
Huko kwenye Taarabu wengine ndiko ziliko fani zao, soka buradani no2 kwake, hajawahi weka habari za Yanga huyu jamaa, huyu hata mtaani anako kaa, ana CD zinazowachoma majirani.
 
Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?

Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
Huwa unahesabu na penati?
 
Usikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote ulizotaja okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni
Soka la magazetini shida sana.. Huo mpira ukiuangalia live hauna tofauti na soka linalochezwa kwenye viwanja vya shule za primary.. Tena pengine huku mtaani wanacheza vizur zaidi ya hao
 
okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni

Hapo ndipo uliponivunja mbavu zangu...[emoji23][emoji23]

Eti Okwi kama Hazard. Umesema anampasia Mavugo? Mavugo mwingine au ni huyu aliyekuwa akibaki na kipa na kupaisha?[emoji23]
 
Ila wapigaji wajanja wanawafurahisha mashabiki kwa harufu ila msosi wanakula wao
 
Heri hawa wapigaji wanadanganya ila wanatekeleza Baadhi ya mambo, kuliko hao wa kwenu, hawa wapigaji wetu ni kundi, sio kama huko kwenu mnaburuzwa na akili za mtu mmoja tu. Vipi mmesha piga magoti, aliahidi kujenga uwanja ndani ya miaka mitatu ya uongozi wake, haukuwezekana na haitawezekana, alitoa ardhi huko Kigamboni zaidi ekari mia moja na kitu, ardhi yenyewe bandia. Wale wababaishaji, awakuahidi ila ardhi ipo, awakuahidi ila nyasi zimefika nchini, na awaahidi hatimae nyasi zitawekwa.
 
Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?

Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
Anakua na penalti ngapi? Uyo Msuva wako
 
Hapo ndipo uliponivunja mbavu zangu...[emoji23][emoji23]

Eti Okwi kama Hazard. Umesema anampasia Mavugo? Mavugo mwingine au ni huyu aliyekuwa akibaki na kipa na kupaisha?[emoji23]
Kama si kuumia Juma Abdul angekuwa na magoli mengi kuliko Mavugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…