BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Mashabiki wa soka mnakuwa kama mashabiki wa muziki wa taarab!! Mafumbo ya nini sasa.
Tena sio wa soka ni wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa soka mnakuwa kama mashabiki wa muziki wa taarab!! Mafumbo ya nini sasa.
Wivu wa kikeKweli wajinga ndio waliwao, hilo galasa ndio linathaminishwa hela yote hiyo?
Usikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote ulizotaja okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuniSasa OKWI akitaka dau hilo then watu kama akina Niyonzima, KAMUSOKO, Msuva itakuwaje...?
Huyo jamaa kacheza VPL 4 season kabeba Ndoo 1 tu.
Hakuwahi kuwa hata top scorer!
MmhhUsikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote ulizotaja okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni
Nani huyo wakuu??
Usikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote
Huko kwenye Taarabu wengine ndiko ziliko fani zao, soka buradani no2 kwake, hajawahi weka habari za Yanga huyu jamaa, huyu hata mtaani anako kaa, ana CD zinazowachoma majirani.Mashabiki wa soka mnakuwa kama mashabiki wa muziki wa taarab!! Mafumbo ya nini sasa.
Chirwa alinunuliwa 200+Sio nyinyi mliyekuw mna shangaa kwann CHIRWA kanunuliwa Mil 100?
Huwa unahesabu na penati?Kwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?
Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
Soka la magazetini shida sana.. Huo mpira ukiuangalia live hauna tofauti na soka linalochezwa kwenye viwanja vya shule za primary.. Tena pengine huku mtaani wanacheza vizur zaidi ya haoUsikariri okwi kazi yake sio kufunga yule sio namba tisa wala okwi sio wa kulinganisha na izo takataka zote ulizotaja okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni
okwi kazi yake kama Hazard yeye anachukua kijiji afu anampa Boko au Mavugo wanaweka wavuni
Anakua na penalti ngapi? Uyo Msuva wakoKwani Msuva kazi yake kufunga? Mbona anamaliza season akiwa top score?
Kuwa tu muwazi kwamba Jamaa anawakoshaga kwa kuwafunga Yanga tu na si kwa lingine.[emoji23][emoji23] sio kusema jamaa sio majukumu yake.
Anhaa nimekupata hahahaMkuu unashindwaje kumjua?
Anaitwa Emerson Okwonko. Mchezaji wa simba.
poa mkuuKwioo
Kama si kuumia Juma Abdul angekuwa na magoli mengi kuliko Mavugo.Hapo ndipo uliponivunja mbavu zangu...[emoji23][emoji23]
Eti Okwi kama Hazard. Umesema anampasia Mavugo? Mavugo mwingine au ni huyu aliyekuwa akibaki na kipa na kupaisha?[emoji23]
Na licha ya kuwa top scorer, ametoa assist ngapi?Anakua na penalti ngapi? Uyo Msuva wako