unatakiwa kuonana na mwanasheria atakutengenezea Trust deeds & Trust rules, ukikamilisha hapo utapewa certificate of in cooperation then utatengeneza strategic plan, T.R.A kwa ajiri ya vat exception .lakini ni vizuri kama pia kutakuwa na board of Trustee , mengine ya kawaida uwe na physical address. watu unaofanya nao kazi hao watu wawe vichwa wanaelimu japo degree na waweze kuandika proposal vizuri. hapo utafanikiwa mengine yatakuja ukianza. huu mwongozo ni kama utapenda kuwa na ngo makini.
niambie unatakakuanzisha NGO ya nini nitakusaidia zaidi kama utahitaji ramadhanikarim@hotmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.