Nataka anzisha NGO

Nataka anzisha NGO

Piazza jr

Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
70
Reaction score
3
Habari ndugu zangu watanzania plz mwenye maoni yoyote kuhusu hili plz naomba ufunguke hapa. Nipeni njia ya kuanzisha NGO
 
unatakiwa kuonana na mwanasheria atakutengenezea Trust deeds & Trust rules, ukikamilisha hapo utapewa certificate of in cooperation then utatengeneza strategic plan, T.R.A kwa ajiri ya vat exception .lakini ni vizuri kama pia kutakuwa na board of Trustee , mengine ya kawaida uwe na physical address. watu unaofanya nao kazi hao watu wawe vichwa wanaelimu japo degree na waweze kuandika proposal vizuri. hapo utafanikiwa mengine yatakuja ukianza. huu mwongozo ni kama utapenda kuwa na ngo makini.
niambie unatakakuanzisha NGO ya nini nitakusaidia zaidi kama utahitaji ramadhanikarim@hotmail.com
 
Back
Top Bottom