Nataka kufanyanbishara ya MPESa, Tigo pesa, uuzaji wa vocha za Startimes, DSTV, Dawasco nk. Nimeambiwa rahisi kupata zote kupitia kampuni ya Selcom. Kwa wenye uzoefu utaratibu upoje na je, inalipaje?
Mkuu, kwa mtizamo wangu japo sikuwahi kufanya hii biashara.
Tafuta wateja wako utakao kua unawahudumia kwa mwezi au mtakavyokubaliana kuliko kukaa mahali pamoja kungoja mteja akutafute wewe. Hii italipa zaidi. Nikutakie mwanzo mzuri.