Nataka biashara hii

Nataka biashara hii

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Nataka kufanyanbishara ya MPESa, Tigo pesa, uuzaji wa vocha za Startimes, DSTV, Dawasco nk. Nimeambiwa rahisi kupata zote kupitia kampuni ya Selcom. Kwa wenye uzoefu utaratibu upoje na je, inalipaje?
 
Nenda wapo karibu na wizara ya sayansi posta
 
Mkuu, kwa mtizamo wangu japo sikuwahi kufanya hii biashara.
Tafuta wateja wako utakao kua unawahudumia kwa mwezi au mtakavyokubaliana kuliko kukaa mahali pamoja kungoja mteja akutafute wewe. Hii italipa zaidi. Nikutakie mwanzo mzuri.
 
kuna thread zimeshaongeea hii b4 tafuta humu labda utapata info zaidi
 
Back
Top Bottom