Nataka gari kati ya hizi mbili

Nataka gari kati ya hizi mbili

City Rider

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
402
Reaction score
1,212
Wadau nataka gari used ambayo ipo katika hali nzuri sana kwa Budget ya 12~13 M.

Machaguo yangu

PREMIO F
RAV4 kilitime

Masharti.

1. Sihitaji dalali nahitaji muuzaji awe mmiliki halali kwa documents
2. Isiwe imerudiwa rangi au ina historia ya ajali
3. Isiwe na tatizo lolote kwenye bodi, injini au gear box

Ili kuepusha mlolongo mrefu masharti hapo juu yazingatiwe
IMG_0345.jpg

IMG_0344.jpg
 
Madalali mnapasua vichwa sana nataka direct business mkuu owner to buyer[emoji3]
Hawa hawakawii kuwambia gari ilikuwa unaendeshwa na mdada kutoka mbezi to posta kazini na kupaki , kumbe jamaa alikuwa anashinda nayo milimani huko upareni imeletwa dar kuuzwa tu 😂😂😂😂
 
Hawa hawakawii kuwambia gari ilikuwa unaendeshwa na mdada kutoka mbezi to posta kazini na kupaki , kumbe jamaa alikuwa anashinda nayo milimani huko upareni imeletwa dar kuuzwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom