valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
Unamtaka haraka kwa madhumuni gani? KUOA, KUOLEWA au KUBANJUA TU NA KUPITA???
dah... Umemuuliza maswali muhimu kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtaka haraka kwa madhumuni gani? KUOA, KUOLEWA au KUBANJUA TU NA KUPITA???
No, nataka mtu aliyepevuka ki akili hta mkikaa mnapiga stori mnaongea mambo ya maana.
Ni kweli mwanzoni utamuona mkweli lakini baada ya muda anakuwa kigeugeu na kuvunja agano.Overage watamu bana, ukimpata muelewa najituma mpaka basi tena tehe tehe tehe tehe. Kila la kheri lakini usiwe paka mapepe ukishapata overage unaanza kutafuta dogo dogo![/QUOTE]
hapo kwenye blue ndio taabu
Alasiri ndiyo nini, au unakusudia mteremko?Sema unatafuta alasiri bana! Kuevuka kitu gani bana.
ukimwi unakuita!nataka haraka, mwanake mtu mzima anayenizidi umri. Kuanzia miaka 42 mpk 50. Naona vitoto vinanizingua tu.