husseinbrand
Member
- Aug 18, 2024
- 15
- 9
Poa bloo lakini naitaji mtu wa kunipush kwani napenda katuni kuwa chezeshaJitahidi ujifunze animation kijana ajira. Nje nje hivyo ya kuchora Kama kipanya kwa kweli soko lake gumu mno.
Hapo ndo kwemye kimbembePoa bloo lakini naitaji mtu wa kunipush kwani napenda katuni kuwa chezesha
Weka Kazi Zako Watu Waone Hapa JF
Mafunzo ni bei gan?njoo ulipie mafunzo
Una mahanisha naweza nikapata mtu wa kunibebaSafi sana...
Namaanisha soma comment no #5 na uifanyie kazi muda huuUna mahanisha naweza nikapata mtu wa kunibeba
Namaanisha soma comment no#5Una mahanisha naweza nikapata mtu wa kunibeba
Ndio animation yenyewe sasa hiyo aliyokushauri.Poa bloo lakini naitaji mtu wa kunipush kwani napenda katuni kuwa chezesha
Huenda alimanisha Blood๐๐Ndio animation yenyewe sasa hiyo aliyokushauri.
Halafu ni 'Bro' sio 'blo'.
Au sio๐๐Blood๐๐
Namna hiyooAu sio๐๐
Poa bloo nita kulushia uwone lakini natengenezea kwenye simu animation zangu utakubaliNamaanisha soma comment no #5 na uifanyie kazi muda huu
Ww m sio mwanaume sawa..?Poa bloo nita kulushia uwone lakini natengenezea kwenye simu animation zangu utakubali
Rusha hapa mbn huelewi kijana??Poa bloo nita kulushia uwone lakini natengenezea kwenye simu animation zangu utakubali
Rusha hapa mbn huelewi kijana??
poa bloo nimekuelewaRusha hapa mbn huelewi kijana??
Rusha hapa mbn huelewi kijana??
Sahihi hata kuhamia nchi nyingine kama USA na Canada kwa mtu anayejua animation rahisiJitahidi ujifunze animation kijana ajira. Nje nje hivyo ya kuchora Kama kipanya kwa kweli soko lake gumu mno.