Nataka kazi nimfanyie mtu malipo tutakubaliana

Patrickjoh

Member
Joined
Apr 18, 2022
Posts
23
Reaction score
21
Kwa majina naitwa patrick john lukukula
Nimebobea katika stationary
Kama ifuatavyo

1. Typing
2. Editing
3. Photocopy
4. Scanning
5. Lamination
6. Passport size
7. Online application
a. Birth certificate
b. Death certificate
C.TIN number and certificate
d. Lessen of any business
e. Loss report
NB. Nafuta kazi jamani
Kwa mawasiliano zaidi
Piga no: 0679890835 /0750980825

Ahsante
 
Kwa majina naitwa patrick john lukukula
Nimebobea katika stationary
Kama ifuatavyo

1. Typing
2. Editing
3. Photocopy
4. Scanning
5. Lamination
6. Passport size
7. Online application
a. Birth certificate
b. Death certificate
C.TIN number and certificate
d. Lessen of any business
e. Loss report
NB. Nafuta kazi jamani
Kwa mawasiliano zaidi
Piga no: 0679890835 /0750980825

Ahsante
Picha linaanza majina yako umeyaandika kwa herufi ndogo.

Sasa ukipewa kazi ya kuchapa report za watu si kutakuwa na makosa mengi sana. Mfano kwenye report utaandika "tanzania" badala ya "Tanzania" au "mungu" badala ya "Mungu". Unaweza kuona ni makosa madogo ya kiuandishi, ila kiuhalisia ni makosa kubwa sana, yanayotafsiri hujui kuandika (Nikimaanisha hujui wapi unatakiwa kutumia herufi kubwa na ndogo). Kuna baadhi ya makosa unaweza sema ni typing error. Mfano ukiandika "sama" badala ya "sana", "anweza" badala ya "anaweza".

Hivyo inakubidi uwe makini sana, ili usije kukosa kazi kwenye kipengere cha "Typing".

Ushauri: Epuka makosa ya wazi wazi ambayo yanaweza kukuharibia CV's kwenye kazi unazoomba.
 
Ni kweli Kaka ila niko makini sana katika uandishi endapo nikipata kazi
Na pia asante kwa ushauri
 
Picha linaanza majina yako umeyaandika kwa herufi ndogo.

Sasa ukipewa kazi ya kuchapa report za watu si kutakuwa na makosa mengi sana. Mfano kwenye report utaandika "tanzania" badala ya "Tanzania" au "mungu" badala ya "Mungu". Unaweza kuona ni makosa madogo ya kiuandishi, ila kiuhalisia ni makosa kubwa sana, yanayotafsiri hujui kuandika (Nikimaanisha hujui wapi unatakiwa kutumia herufi kubwa na ndogo). Kuna baadhi ya makosa unaweza sema ni typing error. Mfano ukiandika "sama" badala ya "sana", "anweza" badala ya "anaweza".

Hivyo inakubidi uwe makini sana, ili usije kukosa kazi kwenye kipengere cha "Typing".

Ushauri: Epuka makosa ya wazi wazi ambayo yanaweza kukuharibia CV's kwenye kazi unazoomba.
Umeandika ukweli mtupu, nina rafiki yangu afisa muajiri na vitu kama hivi anasema anakutana navyo sana na mara kibao hureject CV za waombaji wa kazi wenye errors hizi.

Mtu ambae kwa mfano "kura" anaandika "kula" "random" anaandika "landom" "jurisdiction" anaandika "julisdiction" sasa mtu kama huyu unahangaika kusoma CV yake ya kazi gani?

Imagine ukute Zuhra Yunus kaandika hivi: "Lais wa Tanzania amesisitiza wanachi waache "kukalili" maisha na hivyo amesisitiza watu wachape kazi, ameyasema hayo leo "Ikuru" jijini "Dalesalaam" hebu imagine tu ukutane na Press release ya namna hii kutoka Ikulu.

Nawashauri vijana wanaotafuta kazi wawe makini sana kwenye miandiko yao maana wengi wao hujikuta wanakosa kazi kwa mistake ndogo ndogo kama hizi.
 
Kabisa, kuna makosa ya kiuandishi huwa yanaondoa mvuto wa mada husika.
 
Kwa Moshi, malipo utahitaji kiasi gani? kwenye stationary inayoanza?
 
Picha linaanza majina yako umeyaandika kwa herufi ndogo.

Sasa ukipewa kazi ya kuchapa report za watu si kutakuwa na makosa mengi sana. Mfano kwenye report utaandika "tanzania" badala ya "Tanzania" au "mungu" badala ya "Mungu". Unaweza kuona ni makosa madogo ya kiuandishi, ila kiuhalisia ni makosa kubwa sana, yanayotafsiri hujui kuandika (Nikimaanisha hujui wapi unatakiwa kutumia herufi kubwa na ndogo). Kuna baadhi ya makosa unaweza sema ni typing error. Mfano ukiandika "sama" badala ya "sana", "anweza" badala ya "anaweza".

Hivyo inakubidi uwe makini sana, ili usije kukosa kazi kwenye kipengere cha "Typing".

Ushauri: Epuka makosa ya wazi wazi ambayo yanaweza kukuharibia CV's kwenye kazi unazoomba.
Duuuh
 
Ila kaz za stationary huwa naona wadada wanafiti zaid sjui nmekariri!!..but kila la heri kjn
 
Back
Top Bottom