Nataka kazi yeyote ila iwe ya ofisini

Nataka kazi yeyote ila iwe ya ofisini

mabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
298
Reaction score
40
Kwa yeyote anayehitaji MACHINE ya aina yeyote ile, tuwasiliane hapa hapa JF nitampa mwongozo wa jinsi ya kunipata au kuipata, kwa aliye serious anitumie mawasiliano yake kwenye PRIVATE MESSAGE. nitamujibu (nitampigia)
 
Mabumba leo tu umetangaza kuomba mkopo wa milioni tatu, umetangaza kufanya biashara ya mashine na sasa unatafuta kazi. Hivi unataka watu wakuchukuliaeje?
 
Mabumba leo tu umetangaza kuomba mkopo wa milioni tatu, umetangaza kufanya biashara ya mashine na sasa unatafuta kazi. Hivi unataka watu wakuchukuliaeje?[/QUOTE

yote ni malengo na mipango mkuu kikubwa tuwasiliane tu..
 
wewe umeomba msaada wa pesa unatka kufungua stationary kibaha ,sasa kwanini usizitumie hizo machine kwenye mradi wako huo kuliko kulimbikiza madeni au ni mashine gani unazouza ...coz sijakuelewa
 
Kwa yeyote anayehitaji MACHINE ya aina yeyote ile, tuwasiliane hapa hapa JF nitampa mwongozo wa jinsi ya kunipata au kuipata, (nitampigia)
Mkuu Hapo kwenye Blue mimi nahitaji Machine ya Kuchapisha Noti... na Machine ya Kutuma msg kisha mpokeaji aone katuma Kiongozi wa CDM...
 
Back
Top Bottom