Zuckerberg ,Steve jobs,mmiliki wa twitter hawana elimu ya chuoHawawezi kuwa sawa aliesoma na mbumbumbu, alie na shule ni rahisi kujikwamua
Jidanganye ivo ivo, na kama ni rahisi nawewe kua kama waoZuckerberg ,Steve jobs,mmiliki wa twitter hawana elimu ya chuo
Lakini hawa mbumbumbu wamejikwamua na bila wao hamuwezi kusurvive
ukwel mtupu..Mie nahisi anawasilisha ujumbe kutoka juu.
Anashaur tuachane na chuo then tutafute ada na tukipata ndo turudi chuo.
Mie japokuwa nimefikia chuo naona kama napoteza muda bora niachane na chuo mazima na nikipata hela nitasoma hata open university.
[emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji187] [emoji187]
ww inartia kumbuka kila mtu na njia yake so we soma lakin ishu ya kufanikiwa kimaisha ni kitu kingine kabisa yani...Jidanganye ivo ivo, na kama ni rahisi nawewe kua kama wao
Iingia mtaan ujifunze chanzo cha hela.ukijua hilo.mambo mukideSiyo kwamba napenda ila hali ya kimaisha inanilazimu.
Umesema ukweli Rebecca.maisha yako unpredictable my dear,
swali la msingi,
unasoma kwa ajili ya Magufuli au?
Kipindi chake ni kigumu ndio,hakuna mikopo wala hela inayocirculate,
ila kipindi chake kitapita,
atakuja Rais mwingine,
soma,ili usiwe kwenye vulnerable position,kipindi cha neema kikija.
Sikatai hilo, point yangu ni kwamba mwenye fursa ya kusoma asome hata kama ni kwa mazingira magumu, huku mtaani kupo tu, akimaliza atakuja kujichanganya, lakini si kuacha chuo kwa kukimbilia huku ni makosaww inartia kumbuka kila mtu na njia yake so we soma lakin ishu ya kufanikiwa kimaisha ni kitu kingine kabisa yani...
Sikatai hilo, point yangu ni kwamba mwenye fursa ya kusoma asome hata kama ni kwa mazingira magumu, huku mtaani kupo tu, akimaliza atakuja kujichanganya, lakini si kuacha chuo kwa kukimbilia huku ni makosa
Umesema ukweli Rebecca.
Lakini linakuja jambo ambalo haliepukiki na ndiyo limefanya wengi wapoteze ndoto zao za kusoma kwa wakati stahili nalo si jingine bali ni pesa.
Nilikuwa najiandaa kwa ajili ya hapo baadaye tena nipo UDSM. Lakini mambo yamekwenda kombo. Je, unafikiri ni wapi au ni kitu gani kitakachoniwezesha ilhali mihimili yangu imeanguka?
Sina ujanja Siwezi kulazimisha elimu kwa wakati huu. Nitasoma hata open university kama nafasi itapatikana.
Najua u muhimu wa elimu lakini kikitokea kikwazo na sina namna ya kujikwamua itabidi nitekwe nacho.
Money talks
Hoja gani? Mpaka kusoma ujengewe hoja? Nani asiyejua umuhimu wa elimu?hayo ni maono yako tuu jenga hoja...
Umeongea point maana mafanikio hayana kusema eti nifuate njia za fulan alizopita wengine wanasiri kubwa atiiww inartia kumbuka kila mtu na njia yake so we soma lakin ishu ya kufanikiwa kimaisha ni kitu kingine kabisa yani...
Siyo kwamba nimeamua kufuata plan B ila ukiiona hivyo jua kuwa A nimechemka.My dear,hio hela unayotaka kufungulia biashara kama mtaji,si ungeitumia kuisomea??maisha mtaani sio marahisi kihivyo,hela imekuwa ngumu sio kwa wanafunzi peke yake hadi wafanyabiashara,waajiriwa etc,usidhanie utamake quick money,acha shule kama huna means kabisaa za kuendelea,siku hizi shule online zipo kibao,ila from my own experience sikushauri uache shule aisee,unadharauliwa mpaka basi,lol shule ukisoma hakuna wa kunyang'anya ila ukianza biashara ikabuma utakuwa even more frustrated.
Tatizo ni pesa. Hakuna kinachonifanya niangalie plan B Maana ukata umeniandama so hakuna means ya kusolve hilomie nakushauri priority namba moja yake iwe kuendelea kusoma, najua umesema huna hela (ada) ya kuendelea kusoma, ila zipo njia nyingi sana unaweza tumia kujiendeleza kielimu. Kwa sasa hivi hutaweza kuziona kwa sababu umeamua kuangalia plan B badala ya kutafuta soltions za plan A.
[emoji102] [emoji102] [emoji102]Acha chuo kajiunge na siasa(ccm) uwe unatukana wapinzani hata kwa kujitoa akili, mda si mrefu utakuwa mkuu wa mkoa/wilaya.