Nataka kuacha Chuo nijiingize katika ujasiriamali kwa mtaji huu

......nataman niache tu au nipospond mwaka ili nijaribu bahati katika ujasiria mali.

Badala ya ‘kupospond’ ni bora uache kabisa, subiri boom la mwisho uongeze mtaji... si mnasemaga kusoma ni kupoteza muda.
 
Wadau asante sana kwa mawazo yenu, japo kuna wengine wanabeza sana lkn mi kweli nmechukua maamuzi hayo kwani naona hata nikimaliza bado msoto ni uleule. Bora niwahi ila naenda kujaribu kwenye biashara ambayo nafanyaga nikiwa likizo
 
Badala ya ‘kupospond’ ni bora uache kabisa, subiri boom la mwisho uongeze mtaji... si mnasemaga kusoma ni kupoteza muda.
Mkuu kausha basi hilo neno mwenyewe nililiona[emoji23]

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Brother sikia nikwambie. Mimi nilipiga hela na kuzitumbua, kiasi nilichoweza kurekodi ni 1.2M kabla sijaja chuo na naona sijakosea. Mpaka sasa nimebakiza 150,000 tu kama savings na nadai 230,000 sehemu ambayo nikitaka watanipa. Mbona sikuona bora nisije chuo, tena nafurahi maana napiga kitu nnachokipenda tofauti na nilivokuwa A level kila siku nilitamani niache shule. Sasa wewe una 600k unaona maisha utayapatia ebhana eeh utapoteana kidogo mfano upige loss upoteze mtaji uanze kuishi kama shetani. Komaa umalize mbona miezi michache tu. Tena una hizo laki 6

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Karibu una maliza kaza umalize wakati unaendelea kujichanga then ukishamaliza ndo ufungulie mbwa , kwa sasa hata ujasiriamli hutofanya kwa akili moja ukiju umepostpone chuo. Maliza tu mkuu muda wa vurugu mtaani uwe mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa uko mwaka wa kwanza au wa pili ningekushauri uache ila karibu unamaliza maliza kabisa, hasira ikupande zaidi ili ukimaliza tu ni nduki mtaani kama boom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ok ila mzee baba naona bora nikachakalike nikikwama c narudi kumalizia baba, nilipiga mishe mishe nikiwa 2nd nikapata saving kama 2.3m nikawekezia kwenye kilimo cha nyanya lkn huwez amini zmepgwa na mvua saiv hakuna kitu kwahyo nataka nikapambane kwanza
 
ok ila mzee baba naona bora nikachakalike nikikwama c narudi kumalizia baba, nilipiga mishe mishe nikiwa 2nd nikapata saving kama 2.3m nikawekezia kwenye kilimo cha nyanya lkn huwez amini zmepgwa na mvua saiv hakuna kitu kwahyo nataka nikapambane kwanza
 
Ujasiliamali unaweza kuufanya hata ukiwa chuo bila kuathiri masomo yako
 
Unajirudisha nyuma mno. Eti uendelee ukikwama utakuja kumalizia elimu. Nauliza hivi, kwani ukiweza kumaliza chuo ukafanya ujasiriamali then ukafeli utafanyaje? Si utaendelea na ujasiriamali ukibadili mbinu. Sasa imagine uache chuo, ufanye mishe zikwame then urudi kusoma. Baadae urudi ujasiriamali, sasa si unafanya roundabout mzee? Unachokitupa sasa kumbe una mpango liwe kimbilio ama reserve, kwanini usiende nacho sasa iwe win win situation

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Usipingane na nafisi yako. Wewe fuata kile nafisi inacho kuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko chuoni kuna nini cha maana sana zaidi ya kuingiza Uogo ubongoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah we boya kama umekutana na wale wa NETWORKING B'NESS umeumia kalisha kalio hilopiga buku wacha ujinga
 
Usipingane na nafisi yako, kile ambacho nafisi inakutuma kufanya wewe fanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umesoma hesabu fulani pale form one & two za kutafuta x and y at per?
Ndio wakati wake huo mkuu zitumie
 
Huko chuoni kuna nini cha maana sana zaidi ya kuingiza Uogo ubongoni


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama ulipata dungu a.k.a sufuria unadhani kila mtu anatakiwa awe kama wewe. Kwamba chuoni tunajaza ujinga, dadeq JF wangekuwa na option ya call ningepiga hapa haraka unambie unajua nini ambacho sijui, na umefanikiwa nini

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Kesho kuna hafla pale MayFair Plaza, matajiri wa Qnet wanakutana pale kugonga mvinyo kwa kupongezana na kufurahia matunda.... nimealikwa hivyo nami nakualika uje upige hela.

Good morning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…