Nataka kuacha Chuo nijiingize katika ujasiriamali kwa mtaji huu

Nataka kuacha Chuo nijiingize katika ujasiriamali kwa mtaji huu

Acha

Acha kushauli watu pumba ww mwaache asome akiaacha chuo hatakuwa konda unalinganisha marekan na Tanzania acha kuwa sikiliza motivation Speaker's utapotea bro biashara zinakufa bro kumbuka hilo mwezio na rudi chuo bahada ya kitaaa kunifundisha ukweli kwenye maisha usitengemehe sehemu moja cheti kizuri na business unapiga hapo fresh acha chuo ww mjinga utanikumbuka IPO siku maliza chuo kwanza business zipo tuuh utafanya mupaka utachoka
Chuo hamna faida yoyote kiuchumi ni sehemu itayokupa EGO za kiboya tu.

Elimu Form 6 inatosha kwa aim ya kuelimika chuo ni kupoteza muda miaka 3 tu.

Ila tatizo ndio tushakuta mfumo ushakuwa hivyo kwenda nao tofauti ni ngumu sana.
 
.Siku watakapo jua kuna aina sita za elimu muhimu na mfumo wetu wa elimu unatoa aina mbili tu na ambazo kwa miaka hii ya sasa zinaanza kukosa soko,elimu zilizobaki tunazipata mtaan kwa experience au kwa msaada was watu waliofanikiwa kwenye nyanja za hzo elimu nne zilizobaki na hii kitu wasipokuwa serious wanachuo utakuta MTU miaka 24 anagombania remote na mdogo ake nyumbani kwao
 
Nilihailishaga wadau, saivi nipo semester ya mwisho. Ila sema kweli mtaani ni kuzuri kuliko ata chuoni. Unasoma sana ajira hakuna afu ukifika kitaa unaona aibu ya kufanya mishe zilizo nje na taluma yako ni shida sana.

Ila nimejifunza mengi sana acha nimalizie mwezi wa tisa c mbali
 
Lewis18 niliamua nimalizie tu make hata mimi baada ya kusoma maoni ya wadau na kuchanganua nikaona nimalize. Ila bado naona hakuna kitu kwenye elimu make natambua mpaka kupata ajira siyo kitu rahisi. Ila ktk lkzo hii ya Corona nimefanya machache pia nimejifunza mengi kuhusiana na ujasilia Mali na changamoto zake.

Kwahyo nikirudi mwezi wa 9 naenda kuanza nilipoishia kikubwa uzima. Acha nimalizie mkuu
 
Unaaoma coz gani!?

Kama unataka kuanza ujasiriamali anza ukiwa upo chuo, usiache chuo.
 
Lewis18 niliamua nimalizie tu make hata mimi baada ya kusoma maoni ya wadau na kuchanganua nikaona nimalize. Ila bado naona hakuna kitu kwenye elimu make natambua mpaka kupata ajira siyo kitu rahisi. Ila ktk lkzo hii ya Corona nimefanya machache pia nimejifunza mengi kuhusiana na ujasilia Mali na changamoto zake.

Kwahyo nikirudi mwezi wa 9 naenda kuanza nilipoishia kikubwa uzima. Acha nimalizie mkuu
.Anza kujenga msingi was ujasiliamali huko huko chuo mbona inawezekana
 
.Anza kujenga msingi was ujasiliamali huko huko chuo mbona inawezekana
Mkuu toka nipo mwaka 1 nilijaribu sana but sikuambulia kitu. Nilijiingiza kwenye kilimo japo mtaji ulikuwa kiduchu ila nikaambulia hasara. Nikajaribu biashara sikuana kamaitanilipa nikaamua niache

Kama unaweza kunipa somo zaidi naomba unisaidie. But mimi malengo ni kwenda kufanya biashara ya samaki huko mwanza make nina uzoefu nayo
 
.Tafuta bidhaa ambayo ukiuza moja inakupa faida ya sh 1000,AF tafuta Wateja 36 kila siku ,ndani ya wiki utakua na 250,000,ukizidisha Mara 4 yaan mwez mzima unakuwa na milion moja kumbuka formula hii unaweza badilosha kadri utakavyo ila kumbuka faida inavokuwa ndogo kenye bidhaaa husika ndipo idadi ya wateja was kuwatafuta inaongezeka ili uweze pata mapato ya mwez uliyo jopangia kama nilivotoa mfano mil 1 kwa mwez
 
Mkuu hyo hesabu hiyo
 
Isave ukimaliza masomo na cheti mkononi anza mishe lolote laweza tokea ukaokolewa na cheti ulichonacho, kupoteza miaka 3 bila cheti in utahaira was kiwango cha lami
 
Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na kunilazimu niombe nyumbani ili niendelee na maisha ya chuo japokuwa umri wangu unatosho kutafuta mwenyewe.

Kwa sasa nimejichanga mpaka nimefikisha 600k. Nikiangalia ugumu wa maisha baada ya kumaliza chuo nataman niache tu au nipospond mwaka ili nijaribu bahati katika ujasiria mali. Nipeni ushari wenu

Maliza chuo kwanza mzee
 
Maisha yako yameshikiliwa na wewe mwenyewe. Mwenye final say ya maisha yako ni wewe mwenyewe.

Wewe ndo unajijua kuliko sisi. Kila mtu atakushauri kwa experience yake na mwisho wake Ubaki huna la kufanya.

Najua unategemea ushauri kama "acha chuo kwasababu...." au "usiache kwasababu...."

Yote yanaweza yakawa sawa. Issue ni mindset yako. Ukiamua kuacha na kuingia mtaani njoo ukaze kwelikweli, ukiamua kusoma endelea kwa moyo. Kuwa tajiri sio end-result ya kuacha chuo/kusoma chuo

MINDSET MINDSET MINDSET.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwa nini umefikiria kuacha chuo. ila ningekua wewe ningeanza biz hapo hapo chuo coz mazingira na wateja ninawafahamu hivyo ingekua rahisi kupenya ktk soko. ulipo kuna wateja kibao sioni kwa nini uwakimbie ukatafute wateja usiojua walipo. geuza wanahuo kuwa soko lako.
 
Back
Top Bottom