Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu usiache chuo. Malizia kwanza masomo biashara utakujafanya baadaeWadau asante sana kwa mawazo yenu, japo kuna wengine wanabeza sana lkn mi kweli nmechukua maamuzi hayo kwani naona hata nikimaliza bado msoto ni uleule. Bora niwahi ila naenda kujaribu kwenye biashara ambayo nafanyaga nikiwa likizo
Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na kunilazimu niombe nyumbani ili niendelee na maisha ya chuo japokuwa umri wangu unatosho kutafuta mwenyewe.
Kwa sasa nimejichanga mpaka nimefikisha 600k. Nikiangalia ugumu wa maisha baada ya kumaliza chuo nataman niache tu au nipospond mwaka ili nijaribu bahati katika ujasiria mali. Nipeni ushari wenu
Mkuu asante sana kwa ushauri wako. Lkn mkuu kuna mambo nlikuwa nafanya nikiwa likizo kwahyo niliona kama ina faida nikaona bora nipige tu hiyo hiyoUnakotaka kupakimbia ni kweli pana changamoto "the college teaches our kids the stuffs which will not be applicable in their lives" i understand. LAKINI
Bado uamuzi wako wa kutaka kuacha chuo pia una dosari.
Kwa sababu gani?
-Mpaka sasa unaonekana hauna target hususa. Unaonekana huna focus kwa hiyo ukija kitaa chochote waweza fakamia, hivyo kufanikiwa itakuwa shida sana na huenda ukachelewa kuliko hao unaotaka kuwaacha chuo. Itakuja kukuuma kweli!
-Problem-Solution paradox. Unataka kuondoka chuo kwa sababu ya "matatizo" wakati huohuo unafikiri ukifika kitaa yata suluhishwa. Hapo bado kuna tatizo, kwa sababu "Mindset" ileile inayokimbia tatizo huku ndo ile ile inayoenda mtaani kwa hiyo haitaweza kukusuluhishia tatizo lako zaidi sana itaenda ku "create" more problems.
LABDA: Komaa kwanza kui- "Change" hiyo mindset ndo uamshe, la sivyo sikushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko serious! Mwaka wa tatu? Tena una laki sita na huna hata idea uliyoanza kuifanyia kazi unataka kuacha chuo?Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini.
Sawa sawa. Usisahau kutuletea mrejesho.Naona wengine mnabeza kuwa GPA ni ndogo lkn sijaacha kwa sababu ya GPA balI n kutaka pesa. Pesa ndo kila kitu hapa dunian hivyo vingine badayee
Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na kunilazimu niombe nyumbani ili niendelee na maisha ya chuo japokuwa umri wangu unatosho kutafuta mwenyewe.
Kwa sasa nimejichanga mpaka nimefikisha 600k. Nikiangalia ugumu wa maisha baada ya kumaliza chuo nataman niache tu au nipospond mwaka ili nijaribu bahati katika ujasiria mali. Nipeni ushari wenu
Pengne Ana carryover za kutosha zipo mgongoni anahama nazo mwaka/darasa....Usiache shule mwaya au ushaona utafeli, GPA si mchezo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mkuu unajua kutoa ushauriacha chuo komaa na ujasiriamali mkuu lazima utoboe life .hata yule tajiri wa microsoft alidrop chuo ila leo ni habari nyingine..Tena hata ikiwezekana usiandike barua ya kupospond mwaka ..
acha kimya kimya ujasiriamali unalipa ..utajutia hata miaka miwili uliyoipoteza chuoni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kijana mwenzangu, pole sana kwa hali ya kimaisha unayokutana nayo kwa sasa, nakupa pole sababu niliwahi pitia hali inayofanana na hio miaka 6 iliyopita nikiwa chuoni kama wewe ila ushauri wangu usiache hicho chuo wala ku postpone ni heri ukomae na ukubali hali yako ikiwezekana jiweke wazi kwa rafiki zako anza na wale unaosoma nao karibu hata kwa group discussion watakusaidia kadri ya uwezo wao na kufanya usonge mbele pili unaweza tafuta kibarua ukafanya while unamalizia shule. Ugumu wa maisha baada ya chuo ni kweli upo ila kikubwa ni kupambana tu hakuna namna pia usiseme ujaribu bahati katika ujasiriamali bali uwe na lengo na maono ya hicho kitu utachotaka kufanya isije mwisho wasiku hio saving yako ikapotea na hata hiko chuo ukakisikia kwenye redio!.Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na kunilazimu niombe nyumbani ili niendelee na maisha ya chuo japokuwa umri wangu unatosho kutafuta mwenyewe.
Kwa sasa nimejichanga mpaka nimefikisha 600k. Nikiangalia ugumu wa maisha baada ya kumaliza chuo nataman niache tu au nipospond mwaka ili nijaribu bahati katika ujasiria mali. Nipeni ushari wenu
Asante sana kwa ushauri wako mzuriHabari kijana mwenzangu, pole sana kwa hali ya kimaisha unayokutana nayo kwa sasa, nakupa pole sababu niliwahi pitia hali inayofanana na hio miaka 6 iliyopita nikiwa chuoni kama wewe ila ushauri wangu usiache hicho chuo wala ku postpone ni heri ukomae na ukubali hali yako ikiwezekana jiweke wazi kwa rafiki zako anza na wale unaosoma nao karibu hata kwa group discussion watakusaidia kadri ya uwezo wao na kufanya usonge mbele pili unaweza tafuta kibarua ukafanya while unamalizia shule. Ugumu wa maisha baada ya chuo ni kweli upo ila kikubwa ni kupambana tu hakuna namna pia usiseme ujaribu bahati katika ujasiriamali bali uwe na lengo na maono ya hicho kitu utachotaka kufanya isije mwisho wasiku hio saving yako ikapotea na hata hiko chuo ukakisikia kwenye redio!.
Nakutakia kila la kheri Kijana mwenzangu
Acha kushauli watu pumba ww mwaache asome akiaacha chuo hatakuwa konda unalinganisha marekan na Tanzania acha kuwa sikiliza motivation Speaker's utapotea bro biashara zinakufa bro kumbuka hilo mwezio na rudi chuo bahada ya kitaaa kunifundisha ukweli kwenye maisha usitengemehe sehemu moja cheti kizuri na business unapiga hapo fresh acha chuo ww mjinga utanikumbuka IPO siku maliza chuo kwanza business zipo tuuh utafanya mupaka utachokaacha chuo komaa na ujasiriamali mkuu lazima utoboe life .hata yule tajiri wa microsoft alidrop chuo ila leo ni habari nyingine..Tena hata ikiwezekana usiandike barua ya kupospond mwaka ..
acha kimya kimya ujasiriamali unalipa ..utajutia hata miaka miwili uliyoipoteza chuoni...
Sent using Jamii Forums mobile app
.Hanna kama mtoa mada ana lengo mahususi yupo sahihi kabisaAcha
Acha kushauli watu pumba ww mwaache asome akiaacha chuo hatakuwa konda unalinga marekan na Tanzania acha kuwa sikiliza motivation Speaker's utapotea bro biashara zinakufa bro kumbuka hilo mwezio na rudi chuo bahada ya kitaaa kunifundisha ukweli kwenye maisha usitengemehe sehemu moja cheti kizuri na business unapiga hapo fresh acha chuo ww mjinga utanikumbuka IPO siku maliza chuo kwanza business zipo tuuh utafanya mupaka utachoka