October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Chuo hamna faida yoyote kiuchumi ni sehemu itayokupa EGO za kiboya tu.Acha
Acha kushauli watu pumba ww mwaache asome akiaacha chuo hatakuwa konda unalinganisha marekan na Tanzania acha kuwa sikiliza motivation Speaker's utapotea bro biashara zinakufa bro kumbuka hilo mwezio na rudi chuo bahada ya kitaaa kunifundisha ukweli kwenye maisha usitengemehe sehemu moja cheti kizuri na business unapiga hapo fresh acha chuo ww mjinga utanikumbuka IPO siku maliza chuo kwanza business zipo tuuh utafanya mupaka utachoka
Elimu Form 6 inatosha kwa aim ya kuelimika chuo ni kupoteza muda miaka 3 tu.
Ila tatizo ndio tushakuta mfumo ushakuwa hivyo kwenda nao tofauti ni ngumu sana.