Nataka kuacha chuo niwe mwalimu wa mazoezi. Wapi nitapata mafunzo ya kuwa professional physical trainer?

Nataka kuacha chuo niwe mwalimu wa mazoezi. Wapi nitapata mafunzo ya kuwa professional physical trainer?

Si upostpone tu, kuacha chuo kutakupa mshtuko mkubwa maana watu watakubadilikia hutoamini

Utashangaa unaingia kwenye msongo wa mawazo

Halafu unachotaka kufanya una UHAKIKA nacho? nikimaanisha umejaribu hata kidogo ukaona kipoje?
 
Physical trainer ni kitu gani.? Ni mazoezi ya aina gani?,

Unataka ufundishwe kufundisha , je wewe alikugundisha nani hadi ukaanza mazezi na kuyapenda , je bado huyajui.?
 
Yaani unasoma chuo na hujui Kuna course ya ualimu inaitwa physical Education. Chuo kikuu Mlimani ipo na baadhi ya vyuo vingine. Ni zaidi ya kuwa Gym trainer. Consultant maswali ya physical fitness
 
Kutegmea na course unayosoma unaweza ku opt baadhi ya masomo huko kama akili Yako imetulia na ukaendelea na course Yako lakini hizo optional course zako hazitatokea kwenye course Yako bali utapewa certificate of attendance
 
Udsm bacherol of physical education and sport science
 
unasoma kozi gani chuo?, kwakua uko mwaka wa tatu maliza kwanza chuo kisha utaendelea na unachokipenda!
 
Back
Top Bottom