mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
๐ ๐ ๐Unasubiri nini kuacha?
Acha fasta unachelewa,elimu haina dili ,mtaani kuna oesa sana mdogo wangu,miaka niwili tu utakuwa bilionea
ShukranMaliza kwanza masomo yako vizuri, ukimaliza vizuri njoo hapa tutakushauri, elimu ni bahari pia ndiyo ufunguo wa maisha yako
Good education will define your bright future