Nataka kuacha kazi

Faru01

Member
Joined
Jun 29, 2022
Posts
32
Reaction score
125
Wakuu kwema?

Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na mwisho๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Nataka kwenda Dar es Salaam kutafuta zaid nianze upya. Ushauri wenu wakuu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™nikifika Dar nianzaje maana sijawah kufika kabisa.
 
Komaa hukohuko hiyo pesa ukifika Dar itaisha ndani ya wiki kwasabab huijui Dar na huna pakuanzia... Hukohuko ulipo tafuta sehem anzisha biashara ndogo maisha yataenda.

Lakini pia huna haja ya kuacha kazi fanya hadi wakufukuze wao...
 
Karibu daslam mkuu. huku kulala bila 15k mfukoni ni uzembe wa mtu tu. madili nje! nje!. kazi kidogo tu pesa unapata nyingi
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ watu mna maajabu sana
 
Kama ni kwenda Daslam, nashauri usiende na hela mkuu. Daslam nenda na akili tu, hela utazikuta hukohuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ