Nataka kuagiza dawa India

Nataka kuagiza dawa India

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
128
Reaction score
210
Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani.

Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India.

Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.
 
Kwa uelewa wa kawaida dawa zote za binadamu zinazoingia ama kuzalishwa nchini zinasajiliwa na mamlaka husika.

Ikitokea dawa hiyo haipo lazima kuna mbadala wake hapa Tanzania, ongea na daktari akushauri

Wataalamu wanakuja kukuelewesha
 
Dawa India una kibali Cha kuagiza dawa hiyo mkuu ? Dawa zipo apa Sema connektioner una
 
Back
Top Bottom