Ndiyo haipoDawa gani hiyo mkuu? Una uhakika Tanzania haipo kabisa
Taja jina na hiyo dawa
Njoo inbox unipe details.Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza au kama kuna mtu hapa Tanzania huwa anaagiza dawa nje ya nchi anisaidie kwa kuja inbox.