Nataka kuagiza gari aina ya Impleza

Nataka kuagiza gari aina ya Impleza

agonalile

Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
50
Reaction score
228
Habari,

Sifahamu sana hizi gari aina ya Impleza ila mke wangu mdogo anazifahamu, nimeona kwenye picha ni gari ndogo kiumbo.
Niyeyehariniambia ana.zipeda sana nafikiliya nimuwagizihe

Naomba kufahamishwa agent mzuri wa magari
 
Watu wengine bhana
 
Unaandika huu uzi ukiwa Burundi sehemu gani?
 
Back
Top Bottom