Homeboi unajua bei ya bajaj now?.........for your information.....is not less than 4mil!
Kweli. Upo right.Cheif,
Hiyo gari ni CC 650.....Excise duty inaapply kwa magari yenye CC higher than 1,000 mkuu....so kwa haka ka gari no ushuru wa bidhaa hapo!
Fisadi J,
Kwa haraka haraka hii kitu inaweza kukucost kitu kama US$2200 (CIF)...Kutoka hapo, TRA watakula kama US$ 1595 so jumla itakuwa US$ 3,750*1350 =TSHS 5,123,250
Hapo itakuwa bado gharama za agent, registration na TRA, Road licence, insurance na gharama za bandarini which can cost you up to Tshs 500,000! So total kitu mpaka kipo barabarani will cost you estimated cost of Tshs 5,623,250!
BWT: Nimemwona Dullymo kajaa tele hapa ni mzoefu zaidi kny hizi issues so anaweza kukupa ushauri zaidi pia unaweza check na captain Kitomai!
Kweli NL ni mzee wa details... uliniahca hoi ya Tanga l
Waungwana nataka kuagiza hii Suzuki ya 1994:
http://www.tradecarview.com/used_car/japan car/suzuki/jimny/814099/
Year / Month: 1994
Odometer: 18,000 km
Displacement: 650 cc
Bei yake ni $980.
Je, kuna mtu anaweza kuniagizia? Na nitamlipa kiasi gani jumla kwa fedha za ki kwetu?
Fisadi.jones itabidi ubadili moniker uwe "Kafulia.Jones"
Hivi Fisadi gani hata kamkokoteni cha 5 million kinasumbua? ha ha haa
...mimi naomba kuuliza;
Watanzania-wakazi wa Uingereza bado wanahitajika kupata certificate za MOT toka kampuni ya WTM Utility Services 32 Norfolk Road DAGENHAM RM10 8EX...??? 🙂
Mkuu achana na gari nunua pikipiki tu. Gari utanunua baadae.
Mbona watu hawanipi jibu kuhusu hivyo vidude vidogo dogo?
Au ndio wameshaenda kuniwahi na kuviagiza wao? lol
Mkuu Fisadi mimi ninakushauri hivi kweli unaweza ukapata gari from Japan kwa hela uliyonayo il vitu vya kufikiri:
Uimara wa gari, jee inamiliki mikiki ya barabara za Bongo? waweza nunua gari isidumu hata miezi 6.
Kwa ushauri wangu bora zidundulize alau zifike millioni 5 waweza kupata usafiri wa maana tena hapohapo Bongo.
Ama kama una mtu UK muagizie Suzuki Vitara, hazina bei, ni imara na ukibahatika kwa millioni 5 waweza kusukuma huu mkweche Dar. Naongea kwa uhakika kwa vile kuna jamaa yangu ameshawahi kuleta hio gari na ilimgharimu millioni 5.
mfano hii hapa:
http://cgi.ebay.co.uk/1997-SUZUKI-V...s_UK?hash=item439a4c6a23&_trksid=p3286.c0.m14
Kwa pesa ya madafu utaipata kwa mill 1.8 maximum. ila waingereza ni watu wa kusikiliza best offer kama unampa huyu bwana £750 sawa na sh. mill 1.5 anakuachia mkweche. Freight mpaka Dar mill 1.5. kwa hio mill 3 kitu iko bongo, mazagaa mengine ya ushuru n.k
weka mpaka mill 2.5 jumla millioni 5.5 gari iko mitaani.
Jibu "no" alau kwa sasa given unayo valid DVLA M.O.T certificate.
Mkuu achana na gari nunua pikipiki tu. Gari utanunua baadae.
...pikipiki wakati wa ajali 'body' ni mwili wako...! yanini kugeuzwa sambusa bure?
Mkuu mbona hata gari mwili unakuwa sambusa ajali ni ajali hata ukiwa una jog toka Mbezi mpaka Posta unaweza geuzwa sambusa vile vile.
Cha muhimu aangalie miundo mbinu ya bongo ovyo ovyo sana anunue pikipiki itamsaidia kuwahi kazini na nyumbani pia maana foleni ya Bongo bana mpaka inakera.
vile vile sipendelei mamsapu akikaa mkao wa ~kuji express~ kwenye hizo 'tuk-tuk'... akheri ya kule Unguja na zile Vespa zetu, mikao ya 'chai maharage'.