Acha kumtisha mwenzio,hizo gari mnazouziwa KM chache huwa wanarudisha nyuma tu,na uzuri wenzetu kule hawana ubabaishaji,chombo inaweza kuwa na km nyingi ila kikawa kizima kuliko chenye km chacheUnapenda kuwa fundi? kama ndiyo, nunua hiyo gari.
Mmmmmmhmn 200,000 ni too much...... Ingekuwa kwenye 70,000 kurudi chini sawa..... Duh 200,000 aisee
Mkuu hapa umemaliza kila kindo asee.Pitia hapa
Na hapa
Dondoo moja tu
Wakati mwingine gari zenye mileage kubwa zinakuwa zina historia ya service nzuri zaidi ya hizi low mileage. Ukiona gari ya mwaka 2002 imetembea km 15,000 ogopa. Low mileage is not always a good sign
Nilinunua Xtrail plate # BDA mwaka 2009...mpaka leo 185,000kms kiroho Safi ila imenila pesa Sana hii kitu unailea Kama mtoto wa kiarabu asiyefanya kaziUnapenda kuwa fundi? kama ndiyo, nunua hiyo gari.
Unapenda kuwa fundi? kama ndiyo, nunua hiyo gari.
Hizi ndiyo hoja dhaifu zisizokubalika...
Weka technical issues za gari ili wadau wapate elimu.
Kama umeshawahi kuimiliki pia unaweza kuandika uzoefu wako kusaidia wadau wengine
Shida ni nini mkuu? Ni upande wa engine au miguu ya gari au? Hebu toa ufafanuzi.
Tatzo xtrail nazo ni gar pasua kichwa sana..gar kubwa engene ndogo..xtrail kwa muonekano inakupa jeur ya kuitumia kama gar kubwa ..wakat haina uwezo huo..sizipend..wajanja wote wanazikwepa hzo gar....
Engine zina life span yake,gari inavyozidi kuwa ndogo haishauriwi kununa ikiwa na km nyingi,walau ununue ikiwa na chini ya km 100,000 ili ikusogeze mpk hizo km 200,000ili uone thamani ya fedha yako kaama itakuwa iliytunzwa vzr. Kwa gari zenye ingine kubwa,Hello wakuu
Nataka kuagiza X-Trail new model 2007, ila tatizo ni kuwa ina kM zaidi ya laki 2. Sasa nakuwa na wasiwasi, je inaweza ikawa engine yake haijachoka. Kuna mtu kaniambia road za wenzetu Japan hazina shida Kama huku bongo.
Hebu naomba ushauri wenu wakubwa wa kazi.
Mkuu unaamini km chache ni za kweli?Engine zina life span yake,gari inavyozidi kuwa ndogo haishauriwi kununa ikiwa na km nyingi,walau ununue ikiwa na chini ya km 100,000 ili ikusogeze mpk hizo km 200,000ili uone thamani ya fedha yako kaama itakuwa iliytunzwa vzr. Kwa gari zenye ingine kubwa,mfano kuanzia cc 3,500 na kuendelea unaweza kununua kwani "life span' ya ingine ni zaidi ya km 500,000. Ndio maana hata malory yananunuliwa hata na zaidi ya km 700,000 na yanafanya vzr. So achana na hiyo gari,najua bei imekuvutia lkn utakuja kujutia. Ongeza pesa,nunua one with low mileage
....kikubwa ni jinsi ya ku-validate kuwa uchache au wingi wa km katika gari husika ni halali au zimechezewa?kwa hilo sasa liko nje ya uwezo wangu,so kwa swali lako sina jibu. Labda kama kuna wataalamu watufichulie mbinu za kujua ukweli ktk hiloMkuu unaamini km chache ni za kweli?