Engine zina life span yake,gari inavyozidi kuwa ndogo haishauriwi kununa ikiwa na km nyingi,walau ununue ikiwa na chini ya km 100,000 ili ikusogeze mpk hizo km 200,000ili uone thamani ya fedha yako kaama itakuwa iliytunzwa vzr. Kwa gari zenye ingine kubwa,mfano kuanzia cc 3,500 na kuendelea unaweza kununua kwani "life span' ya ingine ni zaidi ya km 500,000. Ndio maana hata malory yananunuliwa hata na zaidi ya km 700,000 na yanafanya vzr. So achana na hiyo gari,najua bei imekuvutia lkn utakuja kujutia. Ongeza pesa,nunua one with low mileage