Vivyo hivyo hata kwenye km nyingi kunaweza kuwa na ubora na uhai ,kwani huwezi jua endapo engine ilifanyiwa overhaul au ilibadilishwa....kikubwa ni jinsi ya ku-validate kuwa uchache au wingi wa km katika gari husika ni halali au zimechezewa?kwa hilo sasa liko nje ya uwezo wangu,so kwa swali lako sina jibu. Labda kama kuna wataalamu watufichulie mbinu za kujua ukweli ktk hilo
Kwani akishalinunua lazima aje aliuze baadae.Unaweza kununua gari yenye milage kubwa ukajasumbuka Kwenye kuuza baadae
Ukichek Kwenye site ya be forward, SBT na wengine utaona crown nyingi ni above 100000km lakini ujika Kwa wauzaji wa bongo hasa Kwenye yard ni milage 50-80 kmCrown nyingi ukichungulia mtandaoni zina km 150000 ila ukiagziwa zinakuwa chini ya 80000
Wanazichezea sana,na ndio kitu wabongo wanapenda,wabongo huwa hawanunui magari ,wananunua namba na kmCrown nyingi ukichungulia mtandaoni zina km 150000 ila ukiagziwa zinakuwa chini ya 80000
Ukichek Kwenye site ya be forward, SBT na wengine utaona crown nyingi ni above 100000km lakini ujika Kwa wauzaji wa bongo hasa Kwenye yard ni milage 50-80 km
SpeaShida ipo kwenye Nini hasa,
Engine au miguu au spea Bei Kali??
Yaani kuhusu hizo Mambo nmeshuhudia kabisa ,wanachezea haya mavitu Hadi keep,eti gari ya 2004 imetembea 50000 km ,hawanaga haya
Bongo bwana....bibi mstaafu anawekewa bikra bandia ili apate mume....[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787]Yaani kuhusu hizo Mambo nmeshuhudia kabisa ,wanachezea haya mavitu Hadi keep,eti gari ya 2004 imetembea 50000 km ,hawanaga haya
Hoja hii nimeielewaEngine zina life span yake,gari inavyozidi kuwa ndogo haishauriwi kununa ikiwa na km nyingi,walau ununue ikiwa na chini ya km 100,000 ili ikusogeze mpk hizo km 200,000ili uone thamani ya fedha yako kaama itakuwa iliytunzwa vzr. Kwa gari zenye ingine kubwa,mfano kuanzia cc 3,500 na kuendelea unaweza kununua kwani "life span' ya ingine ni zaidi ya km 500,000. Ndio maana hata malory yananunuliwa hata na zaidi ya km 700,000 na yanafanya vzr. So achana na hiyo gari,najua bei imekuvutia lkn utakuja kujutia. Ongeza pesa,nunua one with low mileage
Cc 2000 siyo engine ndogo kwa size ya gari ile, labda uongee matatizo mengine