Imezoeleka wakati mwingine kwenda benki ukiwa umeshachenji hela zako kuw amadafu (USD).
Sasa kama nina hela kwenye akaunt ya benki CRDB, nikihitaji niende kwao wanibadilishie (waniuzie dola) kwa kuhamisha kutoka kwenye akaunt yangu kwenda Be forward, nje ya zile dola 56 za kulipia TT transfer kuna gharama nyingine ambazo zitafyekwa kwenye akaunt yangu?
Je ipi rahisi kiuchumi nidraw hela zangu nikachenji kwenye bureau kwanza au wao wenyewe wanibadilishie? Mwenye uzoefu na hili anipe mawazo nisije nikakwanguliwa hela zenyewe za mawazo hivi.