Nataka kuagiza gari naomba mawazo yenu kuhusu jambo moja

Asante mkuu nitakuja awamu nyingine, lakini hii tayari nilishamaliza mchakato kitambo. Siku napost hapa kesho yake nilikwenda kufanya malipo. Kitu kiko ndani ya meli inapepea kuja DSM port now
Mkuu kikija nitafute unipe lift tupige misele hapa town hukuu miguu nimeweka kwenye dashboard kishoka
 
Usije ukaenda benki na hizo USD watakuambia wazibadilishe ziwe kwa Tshs kwa rates zao ambazo ni ndogo sana..kama unanunua ndinga beforwad jamaa wana akaunti yao hapa bongo ila ile $50 transafer fee lazima uilipe

Mkuu, kwenye kuagiza gari kutoka nje, najaza nani kwenye 'consignee' na 'notify party'?
 
Asante mkuu nitakuja awamu nyingine, lakini hii tayari nilishamaliza mchakato kitambo. Siku napost hapa kesho yake nilikwenda kufanya malipo. Kitu kiko ndani ya meli inapepea kuja DSM port now

Mkuu usafiri ulifika salama?
 
Mkuu, kwenye kuagiza gari kutoka nje, najaza nani kwenye 'consignee' na 'notify party'?
Mkuu consignee ni wewe hapo unaenunua gari au buyer na notify party ni yule mtu anaepewa taarifa baada ya gari kufika hapa atakua ni agent mkuu...
 
Consignee: wameweka cargo & freight company ambayo ni Documents Processing Center iitwayo ''CW Shipping Tanzania Ltd"

Notify Party: Same as consignee.
Mkuu, hiyo iko sawa?
 
Kwa kwaio maana yake anayeipokea hizo documents ni hio kampuni ambayo itakupasa uwalipe hela $70 kuzipata hizo document bila shaka kuna kitu nimekumbuka hao watachukua hizo docs on behalf maana labla gari halijafika mambo yanaweza kua mengi hapo kati kati notufy party itabidi uwe wewe hapo ingawa kikawaida consignee ni buyer
 
Kampuni kama enhance auto wana akaunt yao hapa bongo Barclays unalipa cash bank au unatransfa kutka benk yako kwenda kwao kwa makato yasiozidi 10k Tsh.
 
Chief, sasa hapa unapataje faida mkuu?
 
Asante mkuu nitakuja awamu nyingine, lakini hii tayari nilishamaliza mchakato kitambo. Siku napost hapa kesho yake nilikwenda kufanya malipo. Kitu kiko ndani ya meli inapepea kuja DSM port now
Vp ndinga ishaingia Bongo land?
 
Mkuu consignee ni wewe hapo unaenunua gari au buyer na notify party ni yule mtu anaepewa taarifa baada ya gari kufika hapa atakua ni agent mkuu...

Mimi ninachofanya mara zote kwa sababu inatokea kuna mteja anataka gari na yuko mikoani, mimi najaza consignee jina lake. Ila notify party na where to send document najaza jina na anwani yangu. Nikikabidhiwa doc yangu na DHL nampigia agent anakuja kuzichukua na kuzifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…