Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kuwashirikisha Aitakusaidia Kitu Mkuu.Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.
Je litawezekana?
#kuona ni kuamini, kuona ni uhalisia.
***afisa wa tra sio anaeamua kodi yako.. bali ni mfumo na utaratibu ndio unamuongoza..
wewr hujawai kuajiriwa kwani?? kazi zinafanywa kwa kufata Standard operating procedures au work manuals na quality manuals..
so huyo ofisa utayemshirikisha hana ujanja wa kupindisha kodi tofauti na mfumo utakavyohitaji aamue
Nataka kuagiza gari Japan lakini nataka niwahusishe maafisa wa TRA ili waone procedure zangu zote mpaka ninavyotuma $ 1600 ili niepukane na uplift zao za kupandisha mpaka dola $7000.
Je litawezekana?
#kuona ni kuamini, kuona ni uhalisia.