mr.general JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 989 Reaction score 610 Jan 12, 2025 #1 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Jan 12, 2025 #2 mr.general said: mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza Click to expand... Je malipo/manunuzi kupitia "platform" ipi? Kila platform huwa na "payment gateway" tofauti. Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
mr.general said: mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza Click to expand... Je malipo/manunuzi kupitia "platform" ipi? Kila platform huwa na "payment gateway" tofauti. Karibu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
qualalumpagrinder JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 464 Reaction score 806 Jan 12, 2025 #3 mr.general uko too general😂😂 unataka kulipia wapi? unatumia app gani? fafanua vizuri