Nataka kuagiza mzigo mtandaoni, naomba kujua kampuni za usafirishaji wa mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania kwa Meli na kwa Ndege

Nataka kuagiza mzigo mtandaoni, naomba kujua kampuni za usafirishaji wa mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania kwa Meli na kwa Ndege

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
717
Reaction score
1,903
Habari zenu ninataka kununua vitu online supplier anataka address ya msafirishaji ntakaemtumia, nimefanya research nimegundua kuna makampuni mengi ya usafirishaji.

Naomba mliowahi kusafirisha mizigo mtupe uzoefu, makampuni maarufu ni haya
1. Mapembelo
2. Silent ocean
3. Tosh cargo
4. Walinazi
5. Shamwaa
 
Kutoka nchi gani?

Mo cargo wako vizuri nimetoka kuchukua Jana mzigo wangu pale godown kwao vigunguti. I recommend them
 
Uzuri wao ni nn?
Njunwa mm siwapigii promo Hawa jamaa , mm ni mteja nimeoda vitu vyangu mara kibao namuelekeza supplier apeleke kwa warehouse zao Kisha mzigo unafika Kwa mda walioutaja hivyo nimempa recommendation aliyetaka kujua, na sijapata usumbufu kwao
 
Back
Top Bottom