Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Habari zenu ninataka kununua vitu online supplier anataka address ya msafirishaji ntakaemtumia, nimefanya research nimegundua kuna makampuni mengi ya usafirishaji.
Naomba mliowahi kusafirisha mizigo mtupe uzoefu, makampuni maarufu ni haya
1. Mapembelo
2. Silent ocean
3. Tosh cargo
4. Walinazi
5. Shamwaa
Msaada wa address yaoMo cargo wako vizuri nimetoka kuchukua Jana mzigo wangu pale godown kwao vigunguti. I recommend them
+255677776633Msaada wa address yao
Uzuri wao ni nn?Mo cargo wako vizuri nimetoka kuchukua Jana mzigo wangu pale godown kwao vigunguti. I recommend them
Njunwa mm siwapigii promo Hawa jamaa , mm ni mteja nimeoda vitu vyangu mara kibao namuelekeza supplier apeleke kwa warehouse zao Kisha mzigo unafika Kwa mda walioutaja hivyo nimempa recommendation aliyetaka kujua, na sijapata usumbufu kwaoUzuri wao ni nn?