Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
napatikana wap uniagizie na mimi mojaMambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
View attachment 2062472View attachment 2062471
Ata wewe mwenyewe una agiza tumeku u
napatikana wap uniagizie na mimi moja
naweza kupata elimu kidogo mkuuAta wewe mwenyewe una agiza tu
Kuwa mvumilivu tu. Mm niliagza vtu Mwaka jana 2021 mwezi wa 7 nmekuja kuvipata mwezi huu wa kwanza 2022.. unless utumie premium shipping sisi wa economy tuendelee kuwa wapole tuuNaombeni kuelemishww kuna mzigo fulani hivi nimeagiza alixpress mpaka leo sijaupata ukitrack mzigo unaonyesha upo destination center lakinj ukieda haupo wadau wwnasema subiri wautafute ujipatikana watanijulisha kwa cm ni mda kidogo kunazia mwezi wa 10 tarehe 1. Mpaka leo nashindwa nianzia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo premium ndo inakiwaje?Kuwa mvumilivu tu. Mm niliagza vtu Mwaka jana 2021 mwezi wa 7 nmekuja kuvipata mwezi huu wa kwanza 2022.. unless utumie premium shipping sisi wa economy tuendelee kuwa wapole tuuView attachment 2087858
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Gharama ya shipping inakuwa kubwa but mzgo unafika fasta. Wakati unaorder utaona pale option za DHL etcIyo premium ndo inakiwaje?
Samahani naomba kukuuliza swali kuhusu aliexpress. Kwan mzigo ulifika hapa nivyema ukaupokelee wapi bandarin? Maana naona wengi wanasema posta na kwasimu nasikia poster wahuniMwambie seller akuandikie bei nje ya box la mzigo ili ukifika bandari usikutane na bei za ajabu.
Sikuizi pale customs wamejanjaruka,,, wanagugo kujua bei halisi ya mzgoMwambie seller akuandikie bei nje ya box la mzigo ili ukifika bandari usikutane na bei za ajabu.