Nataka kuagiza simu ali express

Nataka kuagiza simu ali express

Naombeni kuelemishww kuna mzigo fulani hivi nimeagiza alixpress mpaka leo sijaupata ukitrack mzigo unaonyesha upo destination center lakinj ukieda haupo wadau wwnasema subiri wautafute ujipatikana watanijulisha kwa cm ni mda kidogo kunazia mwezi wa 10 tarehe 1. Mpaka leo nashindwa nianzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mvumilivu tu. Mm niliagza vtu Mwaka jana 2021 mwezi wa 7 nmekuja kuvipata mwezi huu wa kwanza 2022.. unless utumie premium shipping sisi wa economy tuendelee kuwa wapole tuu
Screenshot_2022-01-14-21-17-17-771_com.textra.jpg


Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Mwambie seller akuandikie bei nje ya box la mzigo ili ukifika bandari usikutane na bei za ajabu.
Samahani naomba kukuuliza swali kuhusu aliexpress. Kwan mzigo ulifika hapa nivyema ukaupokelee wapi bandarin? Maana naona wengi wanasema posta na kwasimu nasikia poster wahuni
 
Back
Top Bottom