Nataka kuahirisha chuo kwa mwaka mmoja, utaratibu ukoje?

Joined
Jun 19, 2026
Posts
23
Reaction score
45
Wakuu habari za wakati huu!

Mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni bora nianze mwakani ili niweze kusave kiasi cha kumaliza mwaka mzima.

Nauliza utaratibu wa kuhairisha mwaka uko vipi, sitaki kuipoteza nafasi hii kwani ni kozi ambayo nina malengo nayo sana, naamini humu wapo waliopita vyuo wanajua utaratibu. Naombeni msaada wa kimawazo wakuu
 
Wakuu habari za wakati huu, mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni bora nianze mwakani ili niweze kusave kiasi cha kumaliza mwaka mzima.

Nauliza utaratibu wa kuhairisha mwaka uko vipi, sitaki kuipoteza nafasi hii kwani ni kozi ambayo nina malengo nayo sana, naamini humu wapo waliopita vyuo wanajua utaratibu. Naombeni msaada wa kimawazo wakuu
Lazima ufanye registration kwanza kabla kuomba kuhairisha
 
Hapana masta. Ingekua college ya Earth Science Nina mtu ningekucheki PM umuulize ila uko CHAS simjui mtu.

Shukran sana mkuu umenipa mwanga , itabidi nijilipue tu nikafanye usajili. Nirud mtaa kujikoki upya . Ubarikiwe sana mkuu
 
Utaenda kufanya usajiri tu , halafu unarudi mtaani bila chuo kuwapa taarifa kuhusu kuhairisha mwaka au plan Yako Iko vipi?
 
Kwanini usiipotezee hii admission kwa huu mwaka, usifanye usajili wala kufika chuoni? Kuna mwaka ujao bado nafasi ya kupata admission ipo.
 
Wakuu habari za wakati huu!

Mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni bora nianze mwakani ili niweze kusave kiasi cha kumaliza mwaka mzima.

Nauliza utaratibu wa kuhairisha mwaka uko vipi, sitaki kuipoteza nafasi hii kwani ni kozi ambayo nina malengo nayo sana, naamini humu wapo waliopita vyuo wanajua utaratibu. Naombeni msaada wa kimawazo wakuu
Nenda kwa academic advicer wako muulizie utaratibu huo
 
Back
Top Bottom