unstopable man
Member
- Jun 19, 2026
- 23
- 45
Lazima ufanye registration kwanza kabla kuomba kuhairishaWakuu habari za wakati huu, mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni bora nianze mwakani ili niweze kusave kiasi cha kumaliza mwaka mzima.
Nauliza utaratibu wa kuhairisha mwaka uko vipi, sitaki kuipoteza nafasi hii kwani ni kozi ambayo nina malengo nayo sana, naamini humu wapo waliopita vyuo wanajua utaratibu. Naombeni msaada wa kimawazo wakuu
Hukuomba mkopo kupitia bodi ya mikopo!?
Lazima ufanye registration kwanza kabla kuomba kuhairisha
Vyuo vingi, ukiapply, kulinda nafasi lazima ujisajili.
Tatizo la registration, watataka Kuna kiasi ulipie, na hapo ndio utata. Plus gharama za kwenda uko. Utajukuta unatumia pesa nyingi.Anhaa sawa registration ni lazima ufike chuon ikiwa uko mbali, au unaweza kumtumia mtu yoyote
Hapana masta. Ingekua college ya Earth Science Nina mtu ningekucheki PM umuulize ila uko CHAS simjui mtu.Anhaa shukran mkuu, hivi kama upo mbali uwezekano wa kumtumia ndugu upo aliyepo dodoma
Hapana masta. Ingekua college ya Earth Science Nina mtu ningekucheki PM umuulize ila uko CHAS simjui mtu.
Utaenda kufanya usajiri tu , halafu unarudi mtaani bila chuo kuwapa taarifa kuhusu kuhairisha mwaka au plan Yako Iko vipi?Shukran sana mkuu umenipa mwanga , itabidi nijilipue tu nikafanye usajili. Nirud mtaa kujikoki upya . Ubarikiwe sana mkuu
Nenda kwa academic advicer wako muulizie utaratibu huoWakuu habari za wakati huu!
Mimi ni kijana wa miaka 26, nimechaguliwa UDOM diploma in pharmacy round 2, kalenda inaonyesha kuriport ni tarehe 19 , mpaka muda huu sina ada toshelevu. Nimewaza ni bora nianze mwakani ili niweze kusave kiasi cha kumaliza mwaka mzima.
Nauliza utaratibu wa kuhairisha mwaka uko vipi, sitaki kuipoteza nafasi hii kwani ni kozi ambayo nina malengo nayo sana, naamini humu wapo waliopita vyuo wanajua utaratibu. Naombeni msaada wa kimawazo wakuu