Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

Joined
Aug 26, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Je kuna njia gani za kufuata ili niweze kufanikisha hilo?? Nataka kuomba chuo upya mwakani. Je waweza nisaidia???
 
Usisaini boom wala kulisogelea. Me pia nitaahirisha now nafuatilia jina niende JKT.
 
Usiripoti chuoni ndiyo njia sahihi.

kwel usiripot chuon..mi mwnyw nimepata mkopo ila hii chuo cha KIU uzush xana so nimeamua kuhairisha nishalipia na mtihan yan napga upya afu mwakan naomba tena muhas au udom mkuu....vp tatzo nin uhairishe?
 
kwanini wewe uahirishe?usishangae mwakani uka aply loan then ukakosa
 
kwel usiripot chuon..mi mwnyw nimepata mkopo ila hii chuo cha KIU uzush xana so nimeamua kuhairisha nishalipia na mtihan yan napga upya afu mwakan naomba tena muhas au udom mkuu....vp tatzo nin uhairishe?

Mkuu, ulikuwa KIU mwaka wa ngapi?
 
Yaani loan sijapata na ukiangalia course yenyewe niliyochaguliwa ni utata mtupu. Nilipata Bed psychology UDSM. Ila hali ya mfuko ndo inanifanya niahirishe masomo kwa mwaka huu mkuu
 
Ndugu zanguni ukipata mkopo soma, tena kwa bidii. Ni vigumu sana ukipewa mkopo ukaringa kupewa ukiomba tena. Na ukweli ni kwamba umepata bahati kupewa mkopo ni vizuri usome kwa bidii. Wengi wamekosa mkopo na ndoto zao kusoma chuo zilipotea hewani.
NB: kama unataka kuahirisha masomo, na hujawa registered chuo njia rahisi ni kutofanya registration na ada usilipe basi. Ukitaka kuja kusoma unaomba tu, TCU watacheki sifa kama zinaridisha utapata chuo .
 
Kwa hiyo pale Heslb hutoi taarifa yeyote? Me naona kama una mkopo na unataka kuahirisha ni vyema ukatoa taarifa Heslb ili pesa yako apewe mtu mwengine!! La sivyo bodi itakuwekea red mark!! Na hawatakupa tena
 
Mkuu, ulikuwa KIU mwaka wa ngapi?

ndo naingia 1st yr b of pharmacy na nimeingilia minimum requirement so transfer isingewezekana coz KIU ndio peke yake cut point za pharmacy ziko chin..afu mi ctak fan zngne bt only pharmacy....narud kwa MULUGO nipge mtihan afu then mwakan naaply upya....
 
Heslb wangewajali watu wote kwani kuomba kwao maana yake wanauitaji mkopo,wengi hawatakwenda
 
Acha ujinga nenda kasome huko mtaani utachakaa kama bebru wwe!!!!!!!:target:
 
Wakati wengine wakilia nilishtuka saana kuona mtu kapewa Total ya mkopo 6.12mill.
Daaaah!wakati wa kurejesha sasaaa!
Ni kiputee.
 
Yaani loan sijapata na ukiangalia course yenyewe niliyochaguliwa ni utata mtupu. Nilipata Bed psychology UDSM. Ila hali ya mfuko ndo inanifanya niahirishe masomo kwa mwaka huu mkuu

Nimeisoma hiyo course (Bachelor) Kama unaipenda ni vema ukaenda chuoni ukawasiliana na Coordinator wa undergraduate studies ili akushauri njia muafaka zaidi ya kufuata, unaweza ukaacha kuripoti mwaka huu afu ukiapply mwakani ukapangiwa course nyingine tofauti usiyoipenda.
 
Kwa hiyo pale Heslb hutoi taarifa yeyote? Me naona kama una mkopo na unataka kuahirisha ni vyema ukatoa taarifa Heslb ili pesa yako apewe mtu mwengine!! La sivyo bodi itakuwekea red mark!! Na hawatakupa tena

Mbona kuna watu nawafahamu hawajatoa taarifa na mkopo wakapata tena? Labda kama ni mfumo umeanzishwa
 
kwel usiripot chuon..mi mwnyw nimepata mkopo ila hii chuo cha KIU uzush xana so nimeamua kuhairisha nishalipia na mtihan yan napga upya afu mwakan naomba tena muhas au udom mkuu....vp tatzo nin uhairishe?

mkuu nimejaribu kufuatilia post zako...mara upo muhas mara kcmc...hii nayo naona upo kiu...duuh!!!
 
Back
Top Bottom