Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari zenu wana Jamii forums.

Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu.

Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza mazingira ya hii biashara kuhusu makampuni yanayochapisha na kusambaza vitabu na maslahi kwa aliekiandika kitabu yapoje?

Pia nakumbuka nikiwa sekondari, kuna vitabu unakuta karibia kila mwanafunzi alikuwa nacho katika shule nyingi na kila mwaka vinanunuliwa vingi sana, je hawa watu wanafaidika na mauzo ya hivi vitabu?
 
Mzee Mohamed Said mjukuu wako anataka muongozo huyu.
Matola...
Wajukuu zangu ndiyo kwanza wako chekechea.
Hapa nipona wanangu.

Wanenu sasa ndiyo mimi babu yao.
Jupenda kila jambo kuliweka katika nafasi yake vinginevyo inakuwa shida.

Ukiwa babu unafungua mlango wa utani na hili huweza likaharibu uhusiano wetu.
Lakini ukinitazama kama baba heshima inakuwapo.
 
Mkuu si hapa tu kwenye wazo lako ila Kila mahali punguza sana kuwaza negative. Sasa hata kitabu hujatunga umeanza kuogopa kuhusu maslahi. Usijipe woga wa nafsi mkuu utashindwa kufanya vitu vingi sana

Mbona Kuna njia nyingi tu kudhibiti mambo. Kuwa positive mkuu, Tunga kitabu Kisha tembelea makampuni mawili matatu ongea nao mtaelewana tu
 
Aende mkuki na nyota wampe darsa.
 
Back
Top Bottom