Mkuu si hapa tu kwenye wazo lako ila Kila mahali punguza sana kuwaza negative. Sasa hata kitabu hujatunga umeanza kuogopa kuhusu maslahi. Usijipe woga wa nafsi mkuu utashindwa kufanya vitu vingi sana
Mbona Kuna njia nyingi tu kudhibiti mambo. Kuwa positive mkuu, Tunga kitabu Kisha tembelea makampuni mawili matatu ongea nao mtaelewana tu