Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

Andika kwanza ndipo baadae uje na hilo swali.
Maana kuna wengi wanaandika; lakini hawamalizi.
 
Back
Top Bottom