wewe waone wachapishaji watakupa taratibu. Kampuni zipo nyingi. Wao ndio huwa wamenunua ISBN number. Bei wanafanyaga kwa idadi ya nakala utakazotoa, kulingana na idadi ya karatasi,mfano wanaweza kukwambia million mbili kwa vitabu 1000. Ama million zaidi ya hzo ama pungufu kutegemeana na ubora wa kitabu