Nataka kuandika kitabu

Nataka kuandika kitabu

The Teacher

Senior Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
176
Reaction score
81
Nimeaandaa materials kwa ajiri ya kuandika kitabu cha litetature..nakadiria kitabu kuwa na page kama 150 hv..mwenye kujua taratibu za kufuata na kupata isbn pamoja na gharama za printing anijuze plz.
 
wewe waone wachapishaji watakupa taratibu. Kampuni zipo nyingi. Wao ndio huwa wamenunua ISBN number. Bei wanafanyaga kwa idadi ya nakala utakazotoa, kulingana na idadi ya karatasi,mfano wanaweza kukwambia million mbili kwa vitabu 1000. Ama million zaidi ya hzo ama pungufu kutegemeana na ubora wa kitabu
 
Back
Top Bottom