Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Bia moja = Tofali MBILI 🏃🏃 uamuzi ni wako.Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
Konyagi na tonic water ama ukwaju ama kinywaji chenye nanasi ama chungwa ama ndimu/limao.Karibu mkuu,Anza na Konyagi mix na maziwa
Jaribu mkuu,iko nzuri sanaa.Konyagi na tonic water ama ukwaju ama kinywaji chenye nanasi ama chungwa ama ndimu/limao.
Maziwa ni mshangao.
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza

Maziwa fresh ama mtindi/youghtJaribu mkuu,iko nzuri sanaa.
Huu ni unyanyasaji... nawaomba moderator wafungie haya maneno sababu yanatunyong'onyesha sisi wanywajiBia moja = Tofali MBILI
Maziwa Fresh ya dukani,Binafsi natumia Asas.Maziwa fresh ama mtindi/yought
Maana navyoo jua maziwa ya ng'ombe umix na konyagi maziwa ya ng'ombe yataganda.