Diana Morrice
Senior Member
- Apr 1, 2020
- 164
- 225
Nenda na hela za kutosha baa walimu utawakuta,.Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
Memory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Omani?Ipi sababu ya kukufanya utamani kutumia kilevi wakati hukuwahi kutumia huko nyuma?
Ni makundi, umeamua kujaribu vitu vipya ama ni msongo wa mawazo?
Binafsi ningekushauri usianze/usijaribu kutumia kilevi.
Usianze kupunguza memory card yako ya Ubongo Kwa Matumizi ya vilevi
Kwani pombe inapunguza memory ya ubongo.Ipi sababu ya kukufanya utamani kutumia kilevi wakati hukuwahi kutumia huko nyuma?
Ni makundi, umeamua kujaribu vitu vipya ama ni msongo wa mawazo?
Binafsi ningekushauri usianze/usijaribu kutumia kilevi.
Usianze kupunguza memory card yako ya Ubongo Kwa Matumizi ya vilevi
Nenda grocery au bar agiza na kunywaWakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
Ukiwa mnywaji unaanza kuwa na ugonjwa wa kusahauMemory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Omani?
Safii mwalimuuuMambo yasiwe mengi, njoo bima(tbt) hapa nikufundishe kwa vitendo..
Kwa sifa hizi, nani ambaye hataki kuwa championKwani pombe inapunguza memory ya ubongo.
Mimi nakunywaga konyagi ndogo moja inanitosha jioni baada ya kazi so huwa inafanya akili kuwa kubwa na ukomavu na kupevuka kwa fikra Cha kiwango Cha SGR
Unajua watu wengi na wasanii wa muziki mbali mbali huwa wanatumia vilevi ili kufanya akili itende kwa uwezo mkubwa Sanaa
POMBE for years imetumiwa na ma champion na washindi wa vita na hata JAMII mbali mbali zimekua zikitumia years for years
Babu tuache wajukuu zako tule kimea , bila akili kuzimuka binafsi nisingefika hapa nilipo , kwa sababu nikiwa mzima ni mtu wa kujali mno jambo ambao ni kikwanzo kwenye mambo mengi 🤣🤣Ukiwa mnywaji unaanza kuwa na ugonjwa wa kusahau
Alafu nilisahau kwamba Mimi mwenyewe nakunywa Dodoma Wine 😜
Una nyumba ngapi mkuu?Bia moja = Tofali MBILI 🏃🏃 uamuzi ni wako.
Wasalam.
Mkuu nimefunuliwa niwe nakufira,Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza ni
Babu una nia ya kutukwepesha wajuu zako na sisi tupate utamu sio🤣Kwa sifa hizi, nani ambaye hataki kuwa champion
Wacha nami niendelee kujinywea John Walker zangu tu 😜
Mimi mwenyewe nimeshitushwa na kushangazwa na comment ya mzee WETUMemory card inapungua vip kwa matumizi vya pombe babu? Germany na urusi kwamba wana Memory card ndogo kuliko Omani?
Hahaha...............Kwa kuwa nimewahi kufanya kazi kwenye Kampuni fulani ya Beer hapa Temeke wacha nikuruhusu uendelee kuchangia Uchumi wa Nchi 🤗Babu tuache wajukuu zako tule kimea , bila akili kuzimuka binafsi nisingefika hapa nilipo , kwa sababu nikiwa mzima ni mtu wa kujali mno jambo ambao ni kikwanzo kwenye mambo mengi 🤣🤣
Kulanduka ni muhimu sana bwasheeMimi mwenyewe nimeshitushwa na kushangazwa na comment ya mzee WETU
Nasindikiza na hii picha hapa
View attachment 3355800View attachment 3355802View attachment 3355804
Mkuu ,Babu una nia ya kutukwepesha wajuu zako na sisi tupate utamu sio🤣
Kuongea kingereza na kuchekaaKulanduka ni muhimu sana bwashee