Hahaha now nimeacha kunywa bia za kitanzania babu🤣🤣Hahaha...............Kwa kuwa nimewahi kufanya kazi kwenye Kampuni fulani ya Beer hapa Temeke wacha nikuruhusu uendelee kuchangia Uchumi wa Nchi 🤗
Hahaha........Kwa mikono miwili nimeridhiaBabu una nia ya kutukwepesha wajuu zako na sisi tupate utamu sio🤣
Dah kazi zinanitinga kinouma , now naingia day and night mkali nakua na off moja ya leo na jp tuMkuu ,
Umekua kimya sana kulikoni
Haaahaa nilikua natania TU Mimi MWENYEWE ni mnywaji Ila sijafikia kuwa mwandamiziHuu ni unyanyasaji... nawaomba moderator wafungie haya maneno sababu yanatunyong'onyesha sisi wanywaji
Aje apate darasa kamili huku akishanga shangaa mishangaz ya mjini..Safii mwalimuuu
Ntajaribu kufanya ntakupa mrejesho 😁Maziwa Fresh ya dukani,Binafsi natumia Asas.
Chukua konyagi ndogo mix na ile pakti ya maziwa ya asas nusu lita.
Enjoy the show
Mitoto iliokula vya mafutaa ikanonaaAje apate darasa kamili huku akishanga shangaa mishangaz ya mjini..
Babu na kwa umri wako na wewe unatia sukari mwilini tena🤣🤣Hahaha........Kwa mikono miwili nimeridhia
Ila Kwa hili arosto la Beer nililonalo, fanya mpango nipate beer tatu Jioni hii 🤗
Mkuu, may be hao hunywa occasionally ila mleta mada anataka awe anaokotwa kwenye makaravatiMimi mwenyewe nimeshitushwa na kushangazwa na comment ya mzee WETU
Nasindikiza na hii picha hapa
View attachment 3355800View attachment 3355802View attachment 3355804
Karibu sanaa mzee.Kwa sifa hizi, nani ambaye hataki kuwa champion
Wacha nami niendelee kujinywea John Walker zangu tu 😜
Hiki ndio kifutio, hizo zingine nyonya tu bila wasiwasi.Ukiwa mnywaji unaanza kuwa na ugonjwa wa kusahau
Alafu nilisahau kwamba Mimi mwenyewe nakunywa Dodoma Wine 😜
Ningekuwa Kijana kama Dr am 4 real PhD ningesema nitumie KisunguraBabu na kwa umri wako na wewe unatia sukari mwilini tena🤣🤣
Haaahaa 😆 🤣 😂 hio simshaur kutumia vilevi hapo atakua ana ABUSE ALCOHOLMkuu, may be hao hunywa occasionally ila mleta mada anataka awe anaokotwa kwenye makaravati
Ewaaah! Yani watoto wa pwani wanasema futa shatashata au wali naziMitoto iliokula vya mafutaa ikanonaa
Ewaaah! Yani watoto wa pwani wanasema futa shatashata au wali naziMitoto iliokula vya mafutaa ikanonaa
Hiki ni Kisungura sio? 😅Hiki ndio kifutio, hizo zingine nyonya tu bila wasiwasi.View attachment 3355820
Hapana.Usianze.Utatumalizia pombe yetu.Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza 🚮
View attachment 3355810