Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,473
- 3,542
Kwa kweli mkuu MWILI upewe pole ZAKE nyingi.Safi, mara moja moja upe mwili pole ๐
Pole master , dar sio jiji la kuishi ni jiji lakupiga kazi tu bwashee ๐คฃPolee mzee ndio ukubwa huo Mimi pia busy Sanaa nimechokaa hapa naiwaza foleni hapa ๐ค
Nyinyi ndio mlikua mnakaa bar Sana na kunywa Sanaa.Duh kweli duniani hatufanani wengine tunaacha wengine wanaomba kushauriwa namna ya kuanza.
By the way mi sikushauri uanze kunywa pombe hii ni kutokana na madhara iliyonisababishia mpaka kuamua kuacha ni kama ifuatavyo:
1. MEMORY LOSS (Short term) kabla ya kuanza tungi nilikuwa kipanga sana, yaani kusoma ni mara Moja kurudia ni siku ya mtihani, nilikuwa na kipaji cha Photographic memory nikiangalia namba ya simu mara Moja sirudii ishanata kichwani, saivi nimekuwa bichwa zito vitu nilivyokuwa naweza kukueleza mpaka nakupa mifano, now lazima nigoogle, kwenda kazini nimesahau simu geto kawaida, kutoka geto nimeacha funguo mlangoni na sijafunga mara kibao inanikuta na sijalewa ila ni long term effects.
2.PROPERTY LOSS Katika unywaji nishapoteza simu, wallet yenye kitita + ID, laptop, begi la kusafiria nshasahau kwenye basi ndo ikaisha hivyo
3.MARADHI vidonda vya tumbo kwenda kupima in general nikaambiwa mapafu yamejaa maji, Figo Zina kiwango kikubwa cha Nini sijui 125 nini wanajua madokta nikaambiwa ikizidi Figo zinafeli, na pia nikaambiwa nianze clinic ya ini japo walisema nikiacha pombe ini linatabia ya kujirecover lenyewe kama halijawa chronic,
ila nilivyopona ulcers nikarudi kwenye pombe clinic sikwenda almost 1 year umepita,
ila Sasa hivi ni kinywa siku mbili siku ya tatu lazima niumwe tumbo mpaka natembea nainama, acid reflux na kukosa hamu ya kula mikono inatetemeka kijiko cha supu mpaka kifike mdomoni supu yote imemwagika.
4.HAMU YA NGONO nikinywa kivyovyote vile lazima nitafute kipoozeo na ninaruka naye bila Kinga ujasiri wa pombe huo.
5. AJALI hii haihitaji maelezo, Kuna kukutana na vibaka n.k mambo ni mengi.
Ila kubwa ni AFYA ya MWILI na akili baada ya kujitathimini faida na hasara ninayopata, nimeamua niache kwa hiari sio mpaka kukutana na dokta Tena.
Now napiga mazoezi mlima nakunywa maji bahari mixer Meditation, hata mwenyewe naona akili inaanza kufunguka.
By the way hizi effects hutozipata Leo Wala kesho but at the long run pombe hajawahi kumuacha mtu salama, na kuanza ni rahisi sana ila kuacha kama hujapata janga la kukushtua ubongo factory reset asee ni ngumu sometimes haiwezekani.
Au labda mizimu yetu haipatani na hii makitu, maybe ๐ค
~Ndimi mlevi mstaafu.
๐๐ Sisi tumesha zoea huku hatuondokiii tupo huku huku dasalama.Pole master , dar sio jiji la kuishi ni jiji lakupiga kazi tu bwashee ๐คฃ
Sasa ninywe mavitu machungu afu nisipate kujisikia chochote si Bora kuacha tuNyinyi ndio mlikua mnakaa bar Sana na kunywa Sanaa.
Mimi sio mlevi Mimi nakunywa konyagi ndogo Tena nainunua then nakunywa mdogo mdogo na sinywi Ile kulewa tilalila
Pombe inafanya akili inakua high Sana ki utendaji ukizidisha pombe ndio mwanzo ya kua mvivu mvivu na mtu wa excuse nyingi UGOMVI KUCHELEWA KAZINI, MATUMIZI MABAYA YA MUDA NA PESA, KUPOTEZA VITU OVYO, KUSAHAU SAHAU.
SIKU ZOTEEE NIMESEA POMBE SIO TATIZO TATIZO NI MTU MWENYEWE.
Dah mimi napenda maisha ya msituni na nifuge , na iwe sehemu ya utulivu mno๐๐ Sisi tumesha zoea huku hatuondokiii tupo huku huku dasalama.
Mimi nakunywa kama burudani Tena sipendagi bar na nikiendaga nakaa peke angu no story Sana Sana kuchati JFSasa ninywe mavitu machungu afu nisipate kujisikia chochote si Bora kuacha tu
Pombe bila vibe ni sawa na kudokoa chakula mwezi wa Ramadan afu usishibe si Bora kufunga tu update thawabu
Ukizoea kukaa dasalama huwezi tamani kurudi mkoa hata Kama dar es salaam panakuwa ni jehanamu Kwako hata Kama Maisha ni magumu Sanaa ๐Dah mimi napenda maisha ya msituni na nifuge , na iwe sehemu ya utulivu mno
Kiafya ya mwili upo sahihi ila Akili Kuna pattern lazima zibadilike no matter how small the amount takenMimi nakunywa kama burudani Tena sipendagi bar na nikiendaga nakaa peke angu no story Sana Sana kuchati JF
HUO NDIO UNYWAJI WANGU NANUNUA DUKANI NAKUNYWA KONYAGI YANGU NDOGO MOJA NIKIWA NIMECHANGANYA NA TONIC WATER SITAKI MAMBO YA WALEVI MIMI
POMBE NI NZURII IKITUMIWA KWA BUSARA NDIO MAANA WANASEMA DRINK RESPONSIBLE
Dah huko hapana braza ๐Ukizoea kukaa dasalama huwezi tamani kurudi mkoa hata Kama dar es salaam panakuwa ni jehanamu Kwako hata Kama Maisha ni magumu Sanaa ๐
Haaahaa ๐ โบ๏ธWee ushawah changia izo tofali si bora likud
Haaahaa ๐ ๐Dah huko hapana braza ๐
TrueKiafya ya mwili upo sahihi ila Akili Kuna pattern lazima zibadilike no matter how small the amount taken
Kumbe wewe ni jirani yangu weekend ๐ ntakua hapo Kuna miadi na ndugu mmoja ๐Ngoja nisogee hapa Liquid Pub Uhasibu nipige mbili tatu huku nabadirishana mawazo na Wasomi wetu wa Mambo ya Fedha ๐ค
Ukisikia uanaume ndo huo sasa, yaani ulikuwa unaishi kidemudemu.Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia nia, no way back. Haiwezekani lazma namimi niwe mmoja wao wakuu.
Nimejiwasilisha hapa mnipe abc za kufata katika safari yangu hii yenye matumaini tele.
Wapinga maendeleo na haters wote muingie humu kwanza ๐ฎ
View attachment 3355810
Unaishi mitaa hii pia?Kumbe wewe ni jirani yangu weekend ๐ ntakua hapo Kuna miadi na ndugu mmoja ๐
Ngoja nianze next time nikipata pension yangu ya MweziBabu kunywa pombe kwenye hoteli za hadhi najua wewe hutoshindwa kufanya hivyo ,ndio maana nimeluka huu ushauri ๐ค