Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

Wazo baya, linakuingiza shimo refu
 
I used to think it gave me great sleep until I realized it only allowed me to fall asleep quickly but the sleep quality is terrible.
 
Mkiu anza na Konyazi = Konyagi + Stoney Tangawizi.

Nunua kakonyagi kadogo, Mimina karibu kufigia ½ya Glass ya kawaida kisha Mimina soda ya Tangawizi ya baridi hadi juu.

Then katakata limao slice za mviringo nyembamba, Tia slice1 kwenye glass, Anza kunywa taratibu.

Shida ni kwamba kwa msisimko wake utaweza kunywa hiyo Glass1 tu kwa siku kama inavyoshauriwa na wataalamu?
 
nini hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…