Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

Nakupa moyo, kasome. Tena soma kadri utakavyoweza.

Elimu haina mwisho, na kadri unavyosoma unapanuka mawazo kwa namna nyingi sana.

Ukiwa na maswali zaidi kuwa huru kuniuliza, mm ni mwalimu wa QT na resitters, nafundisha masomo yote ya arts.

MUNGU akusimamie na akusaidie katika malengo yako.
 
Amina
 
azima wana Jf.
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu.

Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita.. sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari.. japo nilitaka sana kuendelea lakini hali ya nyumbani ilikuwa ngumu mno hivyo ikashindikakana hata kwenda zile shule za taasisi enzi zile. Katika purukushani za maisha nilijichanga kipesa mwaka 2006 nikajiunga na elimu ya watu wazima ila majibu hayakuja mazuri bado nikashindwa tena kurudia kutokana na hali ya kifedha. Nikajitahidi tu kwenda English course nashukuru nimejua kingereza na pia nikasoma french course pia kifaransa najua.. ila bado najiona sijakamilika bila elimu ,nataka kusoma. mpaka leo hii kiu yangu nisome nifike chuo hasa. Japo naona watu wanaambizana haina haja ya kusoma bora kujiajiri lakini kujiajiri bila elimu sidhani kama unaweza fika mbali unless watu wakuendeshee..
Nina watoto3 na mume pia.
Ila bado naitaka elimu ya sekondari.. na mara hii nimejipanga vizuri kabisa.
Jee niko sahihi ama ndio nakumbuka shuka kushakucha??

Ushauri wenu ni muhimu sana kwa hili
Nannahitaji faraja na munipe moyo niweze kufanikisha hili

Natanguliza shukrani.
Mimi nilikuwa na tatizo linalokaribiana na lako kwa asilimia 52.
Nikasoma, nikakaza buti na hatimaye nikafanikiwa.

Kiujumla ni kazi kubwa mno kufaulu mtihani kwa watahiniwa wa kujitgemea, ila ukijitoa kikweli kweli lazima ufaulu.

Kwa mbinu nilizotumia mimi, nikafanikiwa kwa ufaulu mzuri, nikiona mtu ana nia kama yako ninashauku ya kumsaidia kimawazo ili naye afanikiwe.

Hii ni kwa kuwa ukileta jitihada kama zile za wanafunzi wa kawaida, kufeli inakuhusu. Laa sivyo jitihada ziwe mara dufu zaidi ya hivyo.

N.B. Fanya utafiti mdogo kwa kuangalia matokeo ya watahiniwa wa kujitegemea kwa kutazama kiwango chao cha ufaulu. Utagundua ufaulu wao ni mdogo sana. Hapo utagundua kuwa kuna sababu kuu tano zinazosababisha hali hii.

Nikirudi nitazieleza.

ITAENDELEA......
 
Nakusubiri mkuu urudi ili uelezee
 
Elimu haina mwisho.
Muhammad s.a.w.
Mtume WA waislam anasema "ifate elimu hata china"
 
Kila la kheri.
Binafsi nashauri ufanye kozi ya kitu unachotarajia kukifanya baadae.
 
Kama unasoma ukidhank shule itakusaidia kupata pesa, usisome mkuu ila kwa ajili ya kujiongezea maarifa soma tu, elimu ni chachu ya mafanikio ila kwa umri wako bora utumie muda wako kutafuta elimu ya biashara, ujasiriamali ambayo huhitaji cheti bali maarifa msingi.
azima wana Jf.
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu.

Nina umri wa miaka 31. Nilimaliza shule ya msingi miaka 18 iliyopita.. sikufanikiwa kuchaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari.. japo nilitaka sana kuendelea lakini hali ya nyumbani ilikuwa ngumu mno hivyo ikashindikakana hata kwenda zile shule za taasisi enzi zile. Katika purukushani za maisha nilijichanga kipesa mwaka 2006 nikajiunga na elimu ya watu wazima ila majibu hayakuja mazuri bado nikashindwa tena kurudia kutokana na hali ya kifedha. Nikajitahidi tu kwenda English course nashukuru nimejua kingereza na pia nikasoma french course pia kifaransa najua.. ila bado najiona sijakamilika bila elimu ,nataka kusoma. mpaka leo hii kiu yangu nisome nifike chuo hasa. Japo naona watu wanaambizana haina haja ya kusoma bora kujiajiri lakini kujiajiri bila elimu sidhani kama unaweza fika mbali unless watu wakuendeshee..
Nina watoto3 na mume pia.
Ila bado naitaka elimu ya sekondari.. na mara hii nimejipanga vizuri kabisa.
Jee niko sahihi ama ndio nakumbuka shuka kushakucha??

Ushauri wenu ni muhimu sana kwa hili
Nannahitaji faraja na munipe moyo niweze kufanikisha hili

Natanguliza shukrani.
 
Elimu ya ujasiriamali ninayo tayari na ninaifanyia kazi

Back
Top Bottom