Nataka kuanza kusoma masomo ya sekondari kupitia elimu ya watu wazima

Elimu ya ujasiriamali ninayo tayari na ninaifanyia kazi
Ndiyo uachane na shule nikupoteza muda, kitu kimoja utambue muda wa kutafuta pesa ni limited ukifika 50yrs huna pesa za kueleweka sahau kuwa hela tena.
 
Elimu haina mwisho.
Muhammad s.a.w.
Mtume WA waislam anasema "ifate elimu hata china"
Mjingamimi hiyo kauli ya "Itafute elimu hata uchina" si hadithi ya mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake bali ni miongoni mwa semi za kiarabu za kale. Lakini hadithi sahihi ya mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ni "Kutafuta elimu ni wajibu juu ya kila muislamu".
 
Huna tofauti na Mwanamke aliejiweka kitanzi cha njiti mkonono kuzui kupata ujauzito lakini anakufata mwanamke mwenzako akitaka ushauri kwako na yeye anataka kujiweka njia ya uzazi wa mpango kama yako na wewe unamwambia ni hatari inasababisha maradhi lukuki ilhali wewe umejiweka ...!!
Acha roho mbaya ...
Mwache Dada akasome ...
 
Msonyooo!
 
Alhamdulillah .. nashukuru kwa kila aliyenishauri.. leo majibu ya kidato cha nne... nami ni miongoni mwa waliofurahi.

Nimefanikiwa kupata II.20

Naamua kuendelea na safari nitarudi tena kwenye hii post 2023 july.
 
Hongera sana mkuu
 
NIMERUDI TENA. ALHAMDULILLAH LEO TENA MATOKEO YANGU YA FORM SIX YAMEKUJA MAZURI MNO NAMSHUKURU .

SHUKRANI KWA WOTE MLIONIPA MOYO.[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
NIMERUDI TENA. ALHAMDULILLAH LEO TENA MATOKEO YANGU YA FORM SIX YAMEKUJA MAZURI MNO NAMSHUKURU .

SHUKRANI KWA WOTE MLIONIPA MOYO.[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hongera sana kwa matokeo yako mazuri nakushauri uishi kama uliye elimika na si uliyesoma.
 
Mvp ,mbona Kama wew ni msomi mwandamizi
 
Mwaka 2005mwalimu mchungaji komba aliamua kumuandikisha mke wake fom one ktk shule ya kolila , mkp tunapozungumza sasa HV Yule mam Ni headmaster wa shule moja hapa mpwampwa ddm
 
Alhamdulillah .. nashukuru kwa kila aliyenishauri.. leo majibu ya kidato cha nne... nami ni miongoni mwa waliofurahi.

Nimefanikiwa kupata II.20

Naamua kuendelea na safari nitarudi tena kwenye hii post 2023 july.

Form 4 ulitumia kituo gani kurudia mtihani
 
Sikurudia mtihani kwa maana sikuwahi kuufanya.

Ila nilifanyia kituo cha Yeshua
 
Mwaka 2005mwalimu mchungaji komba aliamua kumuandikisha mke wake fom one ktk shule ya kolila , mkp tunapozungumza sasa HV Yule mam Ni headmaster wa shule moja hapa mpwampwa ddm
Safi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…