Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,392
Reaction score
1,578
Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
 
Mi ninavyo vifaa.....nitakupa kwa masharti lakini.....nikuuzie Seti nzima kwa laki 2 au tafuta Kazi tufanye ikiisha nitakupa vifaa vitakavyotumika hapo....zingatia nitakupa vifaa na sio Pesa.....karibu sana...piga namba hii chap kwa mahitaji ya fundi na vifaa

Call & wasap 0789 005 562
 
Uko vzr kaka nitawasiliana na ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…